Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Wapelekeane moto tu kama wapo honeymoon maana hadi warudi sijui lini
IMG_20220302_115525_094.jpg
 
Chombo cha Starliner kilichoundwa na kampuni ya Boieng hatimae kimeweza kuaondoka kutoka kituo cha anga cha ISS lakini bila kuwabeba abiria wake wawili kutokana na hofu za kiusalama baada ya chombo hicho kupata hitilafu tangu kiwasili huko.
Wanaanga wawili wa kimarekani mmoja mwanamume aitwaye Butch na mwengine mwanamke aitwaye Sunni Williams wataendelea kubaki kwenye kituo hicho mpaka mwezi Februari mwakani ambapo chombo kingine cha Space X kinatarajiwa kupelekwa kuwarudisha nyumbani.Wanaanga hao tayari wameshakaa muda mrefu huko kinyume na muda waliopangiwa kukaa.

View attachment 3089237
Hivi Kwa nini Huwa wanawapeleka Wanaanga Jinsia tofauti....!?
 
Mpaka mwaka kesho mwezi wa pili duu msosi vipi na maji huko au mahitaji mengine
Msosi upo alafu hawako pekeyao kuna waliokwenda hivi karibuni so kinachotakiwa ni wao kurudi kwani muda wao kisheia kukaa kule umeisha alafu kabla ya wao kurudi kuna chombo kingine kitaenda cha nasa au au cha mrusi ila havitarudi nao kwani ni vya mizigo sio kupakia watu vyrnyewe ndo vitapeleka mahitaji
 
Msosi upo alafu hawako pekeyao kuna waliokwenda hivi karibuni so kinachotakiwa ni wao kurudi kwani muda wao kisheia kukaa kule umeisha alafu kabla ya wao kurudi kuna chombo kingine kitaenda cha falcon cha nasa au soyuz cha mrusi ila havitarudi nao kwani ni vya mizigo sio kupakia watu vyrnyewe ndo vitapeleka mahitaji
Hujalitendea haqi Hilo jina lako "BANII ISRAAIIL"😆
 
Back
Top Bottom