Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Hapo walipo hapo ni anga za juu ya dunia tu.na hao wanaopigwa vimondo ni majini wanaokwenda kwa masuala ya kutafuta umbeya wa kufitinisha duniani.
Mtume saw alipaa kwenda mbali sana ambako hakuna binadamu aliyewahi kufika na hata malaika si wote wanaoweza kufika huko isipokuwa wenye kazi maalum
Nani alithibitisha Hilo la Mtume kwenda za Mbali.
 
Nani alithibitisha Hilo la Mtume kwenda za Mbali.
Ilikuwa ni vigumu kuamini enzi hizo safari hiyo.Watu wa Makka wakamhoji baadhi ya ishara za safari ya Israa kwanza na wakathibitisha ni kweli.Hivyo hiyo safari ya pili hakukuwa na shaka yoyote ile
 
Binadamu bwana! Kwa hiyo wao wanataka wawe wanaenda na kurudi wanavyotaka wao,Kwanza unaenda kufanyaje kama hutaki kubakia? We kwako sayari yako ni duniani huko kungine mnadhani ndio mliumbwa kutawala kila kitu?
 
Mi nadhani tungedeal na maswala ya duniani peke yake..hizo sayari nyingine zingeachwa kama zilivyo
Hakuna ubaya kwenda kule hata mimi natamani sana kwenda.
Ukifika hapo hata dunia inaisahau kidogo.Unapata ladha ya mambo yanavyoweza kuwa baada ya kufa
 
Back
Top Bottom