Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

Hivi Kwa nini Huwa wanawapeleka Wanaanga Jinsia tofauti....!?
 
Mpaka mwaka kesho mwezi wa pili duu msosi vipi na maji huko au mahitaji mengine
Msosi upo alafu hawako pekeyao kuna waliokwenda hivi karibuni so kinachotakiwa ni wao kurudi kwani muda wao kisheia kukaa kule umeisha alafu kabla ya wao kurudi kuna chombo kingine kitaenda cha nasa au au cha mrusi ila havitarudi nao kwani ni vya mizigo sio kupakia watu vyrnyewe ndo vitapeleka mahitaji
 
Hujalitendea haqi Hilo jina lako "BANII ISRAAIIL"πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…