Wapo duniani bado (lower orbit) sema wapo juu wanaiangalia dunia kwa mbali kiaina ukitaka kumuona vizuri tembo usimkaribie sanaMi nadhani tungedeal na maswala ya duniani peke yake..hizo sayari nyingine zingeachwa kama zilivyo
Wazungu wahuni waweza kuwa wanataka wajamiiane huko anga za juu na kujifungua halafu waje waseme huko juu binadamu anaweza kuishi ndio maana wamepeleka mwanaume na mwanamkeChombo cha Starliner kilichoundwa na kampuni ya Boieng hatimae kimeweza kuaondoka kutoka kituo cha anga cha ISS lakini bila kuwabeba abiria wake wawili kutokana na hofu za kiusalama baada ya chombo hicho kupata hitilafu tangu kiwasili huko.
Wanaanga wawili wa kimarekani mmoja mwanamume aitwaye Butch na mwengine mwanamke aitwaye Sunni Williams wataendelea kubaki kwenye kituo hicho mpaka mwezi Februari mwakani ambapo chombo kingine cha Space X kinatarajiwa kupelekwa kuwarudisha nyumbani.Wanaanga hao tayari wameshakaa muda mrefu huko kinyume na muda waliopangiwa kukaa.
View attachment 3089237
Kumbe😀Wapo duniani bado (lower orbit) sema wapo juu wanaiangalia dunia kwa mbali kiaina ukitaka kumuona vizuri tembo usimkaribie sana
Hakika, Inasikitisha sanaAfrica na waafrika tumetumwa duniani kuwasindikiza wenzetu.
People wapo so advanced kwenye sayansi.
Waseme vibaya ndio utajua intelijensia yao ipo viwango gani, ingilia madaraka yao katika kuumega mkate wa nchi uone wanavyokumaliza bila huruma.
Kwa nini?Mi nadhani tungedeal na maswala ya duniani peke yake..hizo sayari nyingine zingeachwa kama zilivyo
Maelezo hayo subiri wafike Mars kama itawezekana.Hapo walipo bado ni duniani hata kwenye mwezi hawajafika.Wazungu wahuni waweza kuwa wanataka wajamiiane huko anga za juu na kujifungua halafu waje waseme huko juu binadamu anaweza kuishi ndio maana wamepeleka mwanaume na mwanamke
Iyo hofu tu walio nayo ni nzito sana ,hamu ya kupelekwa moto hakunaWapelekeane moto tu kama wapo honeymoon maana hadi warudi sijui liniView attachment 3089734
Bibi Ako mwsho wake wa kupaa ni urefu wa mnara wa simu ,kule ni mbali sanaKwa sayansi ya dunia najua wakishindwa warusi watachukua nafasi ya kuwarejesha duniani lakini pia hiyo kandarasi wangewapa bibi zangu wa Simiyu mbona chapu tu hakuna helcopter zinatembea kama zile
24hrs mpo kwa camera na vinasa sauti unless muwe ni amateur pornstars mcheze filam ya ngono ya ridhaaKimsingi ni mke na mume watu hao.
Haijalishi duniani wameacha baba watoto au mama watoto wao.
Kuchapiwa hakukwepeki👈
So Allah akirusha vimondo na kika mpata jini anakufa? Au ndio kama mtu afukuzae nzi tu.. and Allah anarusha yeye vimondo kama mtu anayeangua maenbe au anatumi manati or something unaweza tuelezea nice story hiiHapo walipo hapo ni anga za juu ya dunia tu.na hao wanaopigwa vimondo ni majini
Jibril ni Malaika au jini? Maana according hiyo metaphor story Mudy aliongozana na Jibril wamepanda punda buraq kama bodaboda jibril au mudy mbele na mudy mgongoni mwake And Aisha alisema usiku huo mwili wa Mudy ulikuwa kitandani hadi kunapambazuka.. story inasema alienda Kirkhope na kimwili.. bila uongo uislam unakufa..wanaokwenda kwa masuala ya kutafuta umbeya wa kufitinisha duniani.
Mtume saw alipaa kwenda mbali sana ambako hakuna binadamu aliyewahi kufika na hata malaika si wote wanaoweza kufika huko isipokuwa wenye kazi maalum
Huoni kuwa unaharibu uzi?So Allah akirusha vimondo na kika mpata jini anakufa? Au ndio kama mtu afukuzae nzi tu.. and Allah anarusha yeye vimondo kama mtu anayeangua maenbe au anatumi manati or something unaweza tuelezea nice story hii
Hypocrisy is a sign of Muslims. Wakifanya wao sawa ila wakifanyiwa wao sio sawa uzi unaharibika.. what is this tunaishi na kiuasilia na kiimani too... so watu wakinasa anga za juu kinachofuata ni imani. Tumeishi kwenye uongo wa kidini kwa muda mrefu now tunataka tuone kama yana ukweli au zilikuwa story za wajinga wa kale kuhadaa raia.. tusha proof hakuna Kitu Mwezini na anga za juu kweupe wadau wanasogea japo kwa shida ila mwendo mdogo mdogo na nia zipo.. Na vimondo vinaelea tuHuoni kuwa unaharibu uzi?
Ukiyahitaji hayo fungua uzi wadau watakuja kuchangia.
Mkuu, ashakum si matusi!Hypocrisy is a sign of Muslims. Wakifanya wao sawa ila wakifanyiwa wao sio sawa uzi unaharibika.. what is this tunaishi na kiuasilia na kiimani too... so watu wakinasa anga za juu kinachofuata ni imani. Tumeishi kwenye uongo wa kidini kwa muda mrefu now tunataka tuone kama yana ukweli au zilikuwa story za wajinga wa kale kuhadaa raia.. tusha proof hakuna Kitu Mwezini na anga za juu kweupe wadau wanasogea japo kwa shida ila mwendo mdogo mdogo na nia zipo.. Na vimondo vinaelea tu
Wasukuma, waha, wazigua, Wafipa na wazee wangu waliomvutisha moshi wa bangi mzee R.I.P kule Ruangwa wapewe shift wala siyo ishu kubwa hiyoHuu ndio muda wa wanaanga wa Tanzania kuingia kazini mana hawa NASA wanazingua sana