Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama.
Maswali ya kujiuliza.
Soma pia (CCM lialia ameandika)
www.jamiiforums.com
Maswali ya kujiuliza.
- Kwanini CCM wametikisika baada Lisu kutangaza nia ya kugombea uwenyekiti wa CHADEMA?
- CCM inafaidika na nini Mbowe kubakia mwenyekiti wa Chadema?
- Huu umoja wao wakati wa uchaguzi una mlengo gani haswa?
Soma pia (CCM lialia ameandika)
Pre GE2025 - Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa. huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...