WanaCCM na 'Team Mbowe' waungana kumkabili Tundu Lissu

Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono Lissu awe Mwenyekiti wa CHADEMA wakati anajua wazi kuwa hawezi kuongoza chama na wala hana uwezo huo.
Mabwabwa ya mama anaupiga mwingi yamekuwa machiz na mandondocha baada ya kusikia lissu anagombea chadema.
 
Ukistaajabu ya Mchungaji Msigwa utayaona ya ccm hata aibu hawana hawa jamaa
Hawana aibu hao ili mradi jambo lao limetimia. CHADEMA ijitafakari kwanini CCM wanapenda Mbowe abakie mwenyekiti.
 
Kwani mbowe anatafuta nini tena?? Hakubali tu kuwa muda wake umeisha?
 
Chadema mnatafuta sababu za kumfukuza Lissu, CCM wanahusikaje? Ina maana Chadema hakiwezi kujisimamia hadi muwahusishe CCM?
 
Chadema mnatafuta sababu za kumfukuza Lissu, CCM wanahusikaje? Ina maana Chadema hakiwezi kujisimamia hadi muwahusishe CCM?
Tunashangaa urafiki wa CCM kwa timu Mbowe unatoka wapi? Kwanini CCM imuogope Lisu hadi iungane na timu Mbowe.
 
Kuingiza Ccm katika mapambano yenu ni kutafuta huruma kwa wanachama wenu pambaneni wenyewe kwa wenyewe.
 
Lissu yupo serious na kwenda ikulu. Namshauri kama Chadema wakizingua aanzishe chama kipya fasta,2025 anaingia ikulu kwa kishindo cha asilimia 95%.
ALishalitolea ufafanuzi hilo la kusajili Chama kipya...Msajili wa vyama atakubali kusajili Chama cha Lisu??
 
Sio jipya. CDM iliwahi ungana na CCM dhidi ya Magufuli. Nadhani majizi yanalipana fadhila sasa.
 
Sio jipya. CDM iliwahi ungana na CCM dhidi ya Magufuli. Nadhani majizi yanalipana fadhila sasa.
Kabisa inawezekana wanalipana fadhila. WanaCHADEMA shutukeni mapema.
 
Ni baada ya kutafakari hotuba ya Lissu,.ndio wamegunddua bora Mbowe kuliko Lissu.

CCM walipaswa kulijua hili mapema ila hiyo akili hawana.
Kwamba CCM wanaona ni rahisi kuhandle Mbowe kuliko Lisu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…