econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea.
CcM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji.
WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM.
Hayati JPM hachafuki.
WanaCCM wanajua kabisa wanakiibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
Unaijua CCM ? Au unadhani CCM imeanza 2015. Ilikuwepo na itakuwepo, mnamfanya Magufuli aonekane mkubwa CCM wakati hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa shina wa ccm. Nyie kaanzisheni chama muone Kama CCM Ni ndogo au kubwa.