WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

Unaijua CCM ? Au unadhani CCM imeanza 2015. Ilikuwepo na itakuwepo, mnamfanya Magufuli aonekane mkubwa CCM wakati hajawahi kuwa hata Mwenyekiti wa shina wa ccm. Nyie kaanzisheni chama muone Kama CCM Ni ndogo au kubwa.
 
Sijui wamekuelewa hapa???
 
Mnaosusia karibuni Chadema TU join the Chain.Ikiwa kama njia yakuwakumbusha juu ya chaguzi huru haki na za kidemukrasia.
 
Hahaha tuna imani na kinana kuliko wakati wowote. Mwenda zake kafa yuko anako staili kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…