Wanaccm wenzangu twendeni na Profesa Kitila Mkumbo 2025

Acha kuchonganisha watu na mamlaka
 
Acha kuwaita watu wapuuz elimu yake huna na ukoo wenu nzima hauna elimu hyo yake acha dharau kijana Kama wee utaweza kufanya kitu nenda kagombee Kama utafanya kitu
🤣🤣🤣🤣Phd ya mambo ya unyago ndo kawa profesa🤣Profesa au propesa😂?
 
Huyu anafaa kabisa Ba mdogo wangu, afu umejuaje km ni ba mdogo angu? Umenistua
Kwani wangoni wote s ndugu ,
Mm nakuoata vzr tu wee endelea au nikutajie jina la Bab ako wewe
M
 
Kwa taarifa yako FOMU TUTAPRINT MOJA TU😊
Hamtaa aminj kitakacho tokeaa fomu zitakuwa nne lamz apitie mchakato mzima wa chama Cha ccm hakuma mbeleko habebwi mtu yeye amlizie kipondo Cha magu akaemde zake kizimkazi
 
Amka CCM ina mgombea wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…