Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Nenda nae peke yako, sisi tupo na Mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani samiaa anafahaMm namjuwa huyo ktambo mzee wa xtrail ,huyo uongozi hawezi huyo anafaaa kubaki tu darasani
Afundishe tu
Ova
Htaamini 2025 kitakacho tokeaa Samia hat aminiNenda nae peke yako, sisi tupo na Mama
Acha kuchonganisha watu na mamlakaNimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake
Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo
Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa
Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
Acha kuwaita watu wapuuz elimu yake huna na ukoo wenu nzima hauna elimu hyo yake acha dharau kijana Kama wee utaweza kufanya kitu nenda kagombee Kama utafanye
Nenda na wew KampeNjoo Kampe jicho lako la tatu
Yaani nimchonganishe watu kwa mtazamo wangu ,,mban timu Samia mnawasiwas tuliee 2025 ifike hamtaamini kitakacho tokeaaAcha kuchonganisha watu na mamlaka
🤣🤣🤣🤣Phd ya mambo ya unyago ndo kawa profesa🤣Profesa au propesa😂?Acha kuwaita watu wapuuz elimu yake huna na ukoo wenu nzima hauna elimu hyo yake acha dharau kijana Kama wee utaweza kufanya kitu nenda kagombee Kama utafanya kitu
Huyu anafaa kabisa Ba mdogo wangu, afu umejuaje km ni ba mdogo angu? UmenistuaBasi tumpe baba ako mdg nchimmbi Kama prof hatufai
Ndy gari alikuwa analitumiagaKwanin unamuita mzee wa extraio
Mkuu tanzania hata weee ukiwa kule juuu unaweza kuwaongozaKwani samiaa anafaha
Kwa taarifa yako FOMU TUTAPRINT MOJA TU😊Yaani nimchonganishe watu kwa mtazamo wangu ,,mban timu Samia mnawasiwas tuliee 2025 ifike hamtaamini kitakacho tokeaa
Kwani wangoni wote s ndugu ,Huyu anafaa kabisa Ba mdogo wangu, afu umejuaje km ni ba mdogo angu? Umenistua
Suluhu ya Kero ya muungano ni kuwa na Serikali mojaNdio huyu sas anatufaha kuwa kiungozi wetu ,rais kbsa hi kero za muungano ataziIzka
Hamtaa aminj kitakacho tokeaa fomu zitakuwa nne lamz apitie mchakato mzima wa chama Cha ccm hakuma mbeleko habebwi mtu yeye amlizie kipondo Cha magu akaemde zake kizimkaziKwa taarifa yako FOMU TUTAPRINT MOJA TU😊
Hpn Ni seerekali tatu ndio dawaSuluhu ya Kero ya muungano ni kuwa na Serikali moja
We ukimpa jicho lako la tatu inatosha😁Nenda na wew Kampe
Amka CCM ina mgombea wakeNimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo ,
Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili la muuungano na chokochoko zake atalimudu vzr na tutavuka salama kizingiti hiki cha muungano
Pili rasillimali za Tanganyika zitakuwa salama mikono mwake
Siyo kwa ubaya ila huyu bwana ana akili kubwa mno na maono anayo
Mungu ampe nguvu huyu anatufaa haswa
Kwa Sasa safarini kueleke Singida Manyoni
0786757564
K
SAS ulitaka atumia v8 wankt hana pesa hzo ,Sasa siyo mzee wa xtrail SAS HV ni mzee wa v8Ndy gari alikuwa analitumiaga
Kutwa yuko na vibegi na mafaili yake
Ova