Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 27, 2026 #1 Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,999 Reaction score 23,540 Jun 27, 2026 #2 Mmmmhmn,je kama watu wanatumia power bank?
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,287 Reaction score 8,707 Jun 27, 2026 #3 Labda wazime internet
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 28, 2026 #4 Itasikitisha sana... Cc: Mahondaw