Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

Mjinga mmoja!! lkn uzito wa ujinga wako nikama majinga 800
 
Unajua maana ya vikao halali kwa maamuzi halali ya chama husika??????.
Je her Excellence Samia kuwa mgombea urais pekee wanachama wa CCM wameshirikishwa?????
 
Unajua maana ya vikao halali kwa maamuzi halali ya chama husika??????.
Je her Excellence Samia kuwa mgombea urais pekee wanachama wa CCM wameshirikishwa?????
Naona umevurugwa
 
Kwahiyo Mwamba ile November alipokua akitoa maazimio ya kamati kuu walikua bado au baada ya TAL kuchukua ndio imekua nongwa au No reform No Election mlipanga kupigia hela toka kwa vegetables yani ulikua mradi wa watu?
 
Attachments

  • nguchiro47_2_720p_20250121_001258.mp4
    948.5 KB

Si ungetumia ID yako uliyotumia kuandika Hoja yako?
 
Hoja hapa ni chadema kuhamasisha wananchi wazuie uchaguzi, tatizo hapa mikakati na mbinu za kutekeleza hilo kufanikisha haijakaa vizuri. Uchaguzi washiriki iwapo wananchi hawatazuia uchaguzi. itakuwa haina maana kutoshiriki wakati wananchi wamebarkik.
 
Wapi na lini Chadema imezuia wanachama wake kupiga kura? Chadema inazuia uchaguzi usifanyike hadi marekebisho ya mfumo wauchaguzi yafanyike kwanza. Umekurupuka.
 
Wapi na lini Chadema imezuia wanachama wake kupiga kura? Chadema inazuia uchaguzi usifanyike hadi marekebisho ya mfumo wauchaguzi yafanyike kwanza. Umekurupuka.
Sio tu kupiga kura bali pia wagombea wao wa Chadema kugombea uchaguzi mkuu

Hilo tamko linawawekea road block wagombea wa Chadema hasa walio wengi wenye mpango kugombea ubunge na udiwani na wenye watu maeneo yao Viongozi hao wachache wa Makao makuu Chadema hao akina Lisu na wenzie wanawazibia wenzao na kuwapotezea muda kujiandaa kugombea uchaguzi mkuu kwa kuleta porojo zisizo na mashiko wajati imebaki miezi sita tu uchaguzi mkuu kuja
 
Wapi na lini Chadema imezuia wanachama wake kupiga kura? Chadema inazuia uchaguzi usifanyike hadi marekebisho ya mfumo wauchaguzi yafanyike kwanza. Umekurupuka.
Kuzuia uchaguzi ni sawa na kukinga maji ya mvua kwa tenga la nyanya
 
Msimamo wa No Reform No Election haukuleetwa na Lissu bali ni azimio la CC ya Chadema chini ya Mwenyekiti Mbowe mara tu baada ya uchafuzi wa kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa na Azimio hilo likaidhinishwa na mkutano mkuu wa chama kwa niaba ya wanachama wote wa Chadema. Hivi kwa mtu mwenye akili timamu kwa kile kilichotokea 2019,2020 na 2024 anaweza kuamini kuwa mpinzani anaweza kutangazwa kuwa ameshinda uchaguzi dhidi ya mgombea wa CCM? Sasa kwa nini ushiriki uchaguzi ambao unajua dhahir shahir kuwa hata ukishinda hutatangazwa kuwa umeshinda? No Reform No Election siyo kwa ajili ya Chadema tu bali ni kwa ajili ya mustakali wa heshima ya nchi kwani chaguzi zetu mbele ya dunia zinaonekana ni kituko na viongozi wanaopatikana kutokana na chaguzi hizo hawaheshimiki mbele ya macho ya wapenda demokrasia.
 
cc Donald Trump
 
Mkutano mkuu wapi wewe akidi haikutimia ya kupitisha maamuzi ndio maana hata uidhinishwaji wa.wajumbe kama mnyika Lema nk umepingwa na nakala kupelekwa kwa msajili kisa akidi haikutimia
 
Mkutano mkuu wapi wewe akidi haikutimia ya kupitisha maamuzi ndio maana hata uidhinishwaji wa.wajumbe kama mnyika Lema nk umepingwa na nakala kupelekwa kwa msajili kisa akidi haikutimia
Unaamini maneno ya mchome ambaye naye amesikia !!! Huyo Mchome ameshajibiwa na ameabika ndiyo maana hajasikika tena.
 
Mjinga mmoja!! lkn uzito wa ujinga wako nikama majinga 800
Huyo Lissu mwenyewe alipata ubunge kwa katiba hii bila reform leo anataka kuwaingiza chaka wenzake.
 
Chawa kwenye ubora wako😅
Hivi nyie hamuwezi kuishi bila kujichomoa chomoa akili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…