Wanachadema walalamika kutoshirikishwa kabla ya viongozi makao makuu kutoa kauli ya "no reform, no election", wasema demokrasia imesiginwa

Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
Chawa wa ccm ,anapokua mtoa hoja za chadema .
 
Kwa maoni yangu reforms zitakuwa na faida kwa vyama vyote ikiwemo ccm.Kwa sababu mapungufu yakiondolewa,chama kitakachoshinda uchaguzi ushindi wao utakuwa na heshima mbele ya jamii wa ndani na wakimataifa.Tatizo linakuja pale ccm inapodhani reforms zitaiangusha kupata ushindi kitu ambacho si kweli kwani maamuzi ni ya wananchi kuliko ilivyo sasa
 
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
Chiembe maamuzi ya hapo corridor za kijani unashikishwa?
 
Acha kuwasemea uongo, hakuna mwanachama aliyekwazika badala yake tumefurahi sana kwa ubunifu wa viongozi hawa.
 
Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.

Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.

Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.

Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.

Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.

Masologo Manyege!!!
Ccm walipoleta ajenda ghafla kwenye mkutano wa kumpitisha Samia na mgombea mwenza ilianzia mashinani?
 
Makasiriko yataisha tu we dada.
Teh Teh Teh sio nyie ndo wenye hasira?? Maana watu wamewapuuza na ushenzi wenu!! Eti No reform No Election hahahahaha nyote mmeshikiwa akili na Mzee tumbo tumbo Lissu mwenye dalali za kichaa!!
 
Hasira ya nini na Lisu kamshinda muuza unga kihalali?
 
Hasira mnazo ninyi dhidi ya wenye nacho!! Hapo dhiki na njaa vimekutandika kiasi cha kitu pekee kinachokupa faraja ni kutukana wenye nacho!! Kuwa na kijicho na wivu mkali kwa yeyote mwenye nafuu ya kimaisha!!

Cbuki hazitakuondolea ufukara na kukutoa katika hali ya kula kwa tindo we hayawani!
 
Ww ndio mwenye chuki baada ya basha wako kupigwa chini. Ana nini cha kuonewa wivu, ww ndio unamuona yuko vizuri maana amekupangishia double room hapo mwananyamala. Mimi namuona wa kawaida sana.
 
Kauli nyepesi kama hii sijui kwa nini watu wameshindwa kuielewa.

Kama ulikua hujui, kauli ya 'No reform no election' inamaanisha kwamba kama huo mfumo wa uchaguzi usipofumuliwa (No reform), bado hakutakuwa na uchaguzi huru na haki hata ukifanyika. Kwa sababu kilichobadilika ni jina la tume, lakini utendaji wake ni ule ule kama zamani. Kwa hiyo kama kuna mazingira ya kuiba kura, zitaibiwa na matokeo yake hakuna uchaguzi (No election).
 
Hahahaha ona ulivyo masikini!! Unatia kinyaa sana! Yaani unajadili double room leo?

Sikia, mimi nimetoka na KIKWETE MFA 2005!! Shida hizi anonymous ID zinawapa ujinga mno! Hahahaha nimekudharau sana aosee eti double room!!

Halafu nishaona una element za kike inawezekana upo kwenye hedhi naona unatema nyongo kali sanaaa 😂😂😂😂
 
Umetoka na Kikwete wapi, au unadhani ukimtaja Kikwete ndio nitakuona superior sana? Yaani kama unajiona una maisha mimi nakuona ww ni 🌈 fulani tu. Basha wako kashindwa kihalali hutaki kukubali unajiliza kila siku. Tulia wanaume tupige kazi, mambo ya kulazimisha mabasha kinguvu hapa jf hutoboi.
 
Duh nilisema tangu mwanzo wewe lazima utakua mtoto!! Ndo maana nawaandikia shombo naelewa kabisa ni watoto wanywa visungura teh teh teh!! Nimekutoa kabatini aisee hii thinking ndo Lissu anaitegemea kuendesha harakati zake? I really pit him!
 
Kauli nyepesi kama hii sijui kwa nini watu wameshindwa kuielewa.

Kama ulikua hujui, kauli ya 'No reform no election' inamaanisha kwamba kama huo mfumo wa uchaguzi usipofumuliwa (No reform), bado hakutakuwa na uchaguzi huru na haki hata ukifanyika. Kwa sababu kilichobadilika ni jina la tume, lakini utendaji wake ni ule ule kama zamani. Kwa hiyo kama kuna mazingira ya kuiba kura, zitaibiwa na matokeo yake hakuna uchaguzi (No election).
Bado hujasema, naona mnanyumbulika tu
 
Back
Top Bottom