Katika mazingira ya sasa ya uchaguzi ni mwendawazimu pekee anayeweza kushiriki.Haki ya kupigiwa kura na kupiga kura ni haki ya kikatiba ya nchi haiwezekani kikundi kidogo cha viongozi Chadema wakazuia haki ya wanachama walio wengi wanaotaka kugombea ubunge na udiwani na wana wapiga kura wao ambao wako tayari kuwapigia kura kwenye maeneo yao
Huo udikiteta unatakiwa kupingwa na wana demokrasia walio.ndani ya Chadema
Maccm ni kama mazezeta tu, hayajielewiMama kajiteuwa kuwa mgombea urais wewe ulishirikishwa?
Umeandika pumba tupu.Kwanza wanachadema yaani wanachama pammoja na mashabiki wanatofautiana jambo mmoja kuu.
Msimamo wa viongozi na msimamo wa wapenzi na wanachama.
Wapo wanaotaka msimamo wa Lissu leadership ndio uwe msimamo wa Chadema.
Lakini wapo wengi tena wachangiaji fedha kukiinua chama wanaotaka sera na misimamo ya chama itokane na hao wafia chama wanaochangishwa kukiimarisha chama na si vinginevyo.
Hao top brass baadhi yao ni wasaka tonge kama Lissu aliyevihama vyama kadha hadi Chadema.Na tumeshuhudia influx ya vijana waliokuwa hadi wabunge walivyohamia CCM enzi za Raisi Magufuli ili kupata vyeo kwenye serikali ya Magufuli.
Chadema ya Mbowe no more.Sasa tuna
Chadema ya Lissu inayopongezwa na wasaka deal hata kabla kufanya jambo lolote la msingi.
Kwa kifupi Chadema is compromised nadhani wananchi sio wajinga,wamepuuzia wasaka tonge.
Very funny eti umeshindwa uchaguzi unathubutu kuwaambia watu tuandamane ili tupate nini? Mwambie mke wako na watoto wako waandamane Nonsense.
Wewe kama wewe unataka kufanya nini?Umeandika pumba tupu.
Mfumo wa uchaguzi ni wa kihuni na wenye akili wanalitambua hilo.
Unamaanisha hao wanachadema wamesema hawajachoka kuchinjwa?Demokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.
Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.
Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.
Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.
Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.
Masologo Manyege!!!
Invinsible futa uzii huu.Ametunga uongo mtupuDemokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.
Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.
Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.mmo
Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.
Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.
Masologo Manyege!!!
Uongo wa konyoInvinsible futa uzii huu.Ametunga uongo mtupu
Viongozi wa Sasa wa CHADEMA hawana maarifaDemokrasia ndani ya chama imesiginwa!!! Ndio kauli ya wanachama mashinani wakilalamika kwamba chama kimetoa maamuI mazito bila kuwashirikisha wala kupata ridhaa yao.
Wanachama hao wanasema haiwezekani unazuia haki ya kikatiba ya wananchama kupiga kura halafu hujawashirikisha.
Wadau hao wa chama wanasema kama wangeshirikishwa, viongozi wakuu wa chama wasingekuwa wanapanua makoo na midomo kujaribu kuelezea agenda hiyo, ila wana chama wangekuwa wanaisemea tu.
Wanasema uamuzi wa chama ni wa viongozi, lakini wait wanachama wa ngazi za chini wako tayari kushiriki uchaguzi kama ilivyokuwa zamani, pamoja na mapungufu ya hapa na pale.
Baadhi wanasema ni ubinafsi tu wa viongozi wa makao makuu kwa kuwa chama kilishawahi kustawi katika mfumo huu huu wa uchaguzi.
Masologo Manyege!!!
We kwa akili yako CDM inaweza kuzuia watu kupiga kura. ZWatu watajizuia wenyewe.Haki ya kupigiwa kura na kupiga kura ni haki ya kikatiba ya nchi haiwezekani kikundi kidogo cha viongozi Chadema wakazuia haki ya wanachama walio wengi wanaotaka kugombea ubunge na udiwani na wana wapiga kura wao ambao wako tayari kuwapigia kura kwenye maeneo yao
Huo udikiteta unatakiwa kupingwa na wana demokrasia walio.ndani ya Chadema
Anayewachinja kila kukifanyika kinachoitwa uchaguziNani anawachinja?