Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kusimamia Haki kunalipa, kusimama na wanaoonewa kunalipa na siku zote wananchi awafundishwi kuchagua jema na baya Bali wanalazimishwa kuchagua wasichokitaka.
Majimbo mengi ambayo wagombea Ubunge WA pande zote walisimama na wananchi hakuna changamoto ya wagombea hao kushawishi Sana wapiga Kura....
Changamoto IPO Kwa wabunge waliopewa Ubunge na JPM, Hali si swari na nguvu kubwa wanayotumia inaweza isizae matunda.mfano mzuri NI spika WA Bunge. Hali yake jimboni pamoja na nafasi kubwa aliyonayo bado ni mbaya. Mrisho Gambo Hali Tete, majimbo ya iringa ,Kilimanjaro, ,Mtwara ,Kigoma, Shinyanga, mara, Morogoro, DSM NK Hali si shwari.....
Kabla ya mikutano ya adhara wabunge wa maeneo haya walijifungia DSM Kula bata, baada ya mikutano ya adhara akili zimewarudi wanakimbilia majimboni but too late.
Tegemeo lao KUSHINDA Ubunge limebaki Kwa Kailima na tume yake akisaidiwa na dola.