Mtukudzi
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 103
- 408
Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo.
Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo yoyote rasmi juu ya ratiba yake ya kampeni.
Kwa huko Zanzibar tunaona akina Jussa wameamua kumpigia chapuo Bw. Lissu. Tunapata shida kujua nini hasa tufanye huku bara.
Lakini kwa kuwa Mgombea wa CCM anasisitiza kuwa Maendeleo hayana chama, basi wiki moja ijayo tutahamasishana kumpa huyo wa CCM kwa sababu tunachotaka sie ni maendeleo.