hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Haipendezi hata kidogo kutufanyia kitendo cha aina hii.
Unalalamika kama umeshikiwa akili zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipendezi hata kidogo kutufanyia kitendo cha aina hii.
😂😂Mtukudzi ile Ijumaa iliyopita 7000 yangu alinichukulia nani? Maana kila ninayemuuliza simwelewi na wewe ulikuwepo ilikuwa unichukulie pesa ya bundle ya week. Tunapambana sana kwa ajili ya chama na kupokea matusi ila kwenye mshiko mnataka tena kutulalia.mimi nataka pesa yangu.
Kwakua wakati anatangaza nia alituambia watanzania wote,Unalalamika kama umeshikiwa akili zako
Wewe sio mu-act
Fanya yako mkuu
KADA WA CCM kwenye ubora wako
Mi ccm haijifichagi mkuu utaijua tuMbona unazunguka,nenda moja kwa moja kwenye point
Gari lenu la mkaa liko gereji gani?Mbona mnanishambulia? Kwani Zitto yuko wapi anipe majibu? ACT huku bara tumekwama
Mbona umeandika utafikiri Wakudadavuwa ?Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo.
Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo yoyote rasmi juu ya ratiba yake ya kampeni.
Kwa huko Zanzibar tunaona akina Jussa wameamua kumpigia chapuo Bw. Lissu. Tunapata shida kujua nini hasa tufanye huku bara.
Lakini kwa kuwa Mgombea wa CCM anasisitiza kuwa Maendeleo hayana chama, basi wiki moja ijayo tutahamasishana kumpa huyo wa CCM kwa sababu tunachotaka sie ni maendeleo.
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]Wewe sio ACT
Ila chakukushauri mpigie membe kura maana yupo kwenye ballot pepar.
Msaidie membe kwa hilo ila sisi wanaACT tunajua chama chetu kinahitaji nn
Tunafanya nae mazungumzo, tumeshafika pazuri.Hakuna namna NEC wanaweza ingilia Kati maana hivi vyama ni kama vinacheza na akili yetu sisi wapiga kura.
Unatuambia unagombea Urais, mara unakimbilia Dubai mara hatukuoni tena majukwaani, hiki ni nini??
Hakuna namna NEC wanaweza ingilia Kati maana hivi vyama ni kama vinacheza na akili yetu sisi wapiga kura.
Unatuambia unagombea Urais, mara unakimbilia Dubai mara hatukuoni tena majukwaani, hiki ni nini??
Kwakua wakati anatangaza nia alituambia watanzania wote,
Basi hata kama kaamua kubwaga manyanga tuna haki ya kuambiwa pia.
Sio vyema kuchezea akili za wengine.
Post yako haina mvuto kama Membe nwenyewe alivyolowa mithili ya bakuli la mrenda. ACT-Wazalendo wapo na Lissu kwenye Urais 2020.Mpaka sasa hatujui hatma ya chama chetu kwenye uchaguzi mkuu huu.
Siyo mgombea wetu, Mwenyekiti wetu wala kiongozi wa chama aliyetoka hadharani kutuambia tunafanyeje kwenye chumba cha kupiga kura za Urais takribani wiki mbili zijazo.
Mgombea wetu wa Urais haonekani popote na hakuna maelekezo yoyote rasmi juu ya ratiba yake ya kampeni.
Kwa huko Zanzibar tunaona akina Jussa wameamua kumpigia chapuo Bw. Lissu. Tunapata shida kujua nini hasa tufanye huku bara.
Lakini kwa kuwa Mgombea wa CCM anasisitiza kuwa Maendeleo hayana chama, basi wiki moja ijayo tutahamasishana kumpa huyo wa CCM kwa sababu tunachotaka sie ni maendeleo.
umeonaeeeeMembe bwana kaamua kuleft kwenye group bila kumpa taarifa admin.
Baada ya tarehe 28 wote hao pamoja na huyo mgombea wao wa Mbowe watakimbiana.Ndugu, humu watu Wanataka kusikia unamtaja yule mgombea wa Mbowe otherwise utaonekana snitch tu. Mungu ibariki Tanzania.
😂😂😂pole mkuu alie chukua buku saba yako ni uyu ailia post huu utumbo mmi lilikuwepo nilimuonaMtukudzi ile Ijumaa iliyopita 7000 yangu alinichukulia nani? Maana kila ninayemuuliza simwelewi na wewe ulikuwepo ilikuwa unichukulie pesa ya bundle ya week. Tunapambana sana kwa ajili ya chama na kupokea matusi ila kwenye mshiko mnataka tena kutulalia.mimi nataka pesa yangu.