Uchaguzi 2020 Wanachama wa ACT-Wazalendo tunamtaka Kiongozi wa chama atupe maelezo ya hatma ya mgombea wetu wa Urais

Haya mambo ya buku saba kumbe kweli huwa mnalipwa hapo Lumumba!
 
Huku ni Jamii Forum sio ACT
 

Ulijiunga lini ACT wewe? Au siku ile mlipojiunga na jiwe?
 
Huo ndio uamuzi sahihi mkuu,maendeleo hayana vyama chagua CCM...
 
na mpaka leo hujui ACT wameamua nini basi wewe ni maiti unaekwenda kama CCM.
 
Halafu wengi msiojua kinachoendelea mnakuwa ni wale mapandikizi ya CCM,sasa mnaadhirika mmeachwa njia ya panda.
 
Hayakuhusu kwani wewe ni mccm.
 
Fisiemu Gamba weeee
 
Hakika wewe ni mmojawao wale wa Buku Saba
 
Haya maswali si yanatakiwa kujibiwa na mgombea mwenyewe? Kwani kura si ni siri ya mtu, sasa wewe iweje uelekezwe na mtu mwingine?
 
Mgombea Urais wa ACT ni Membe. wana ACT wote kura kwa Membe. haina maana uwe ACT alafu umpe kura wa chama kingine.

Kwahiyo unataka kusemaje kwa Jiwe kuomba kura za wote na hata wasio na vyama?
 
Nyie ni wana CCM mmeona maji ya shingo mnakuja kujifanya mnaongea kama ACT. Tulieni dawa iingie. ACT wameshasema na Membe ameshasema anamuunga nani. Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Ahaaaaaaaaaa,du mmebanwa ipasavyo.
 
Kwahiyo unataka kusemaje kwa Jiwe kuomba kura za wote na hata wasio na vyama?
Soma hapo ulipo ni quote nimesema"wana ACT".
kumbuka mada ni wana"ACT.

mtu asie na chama anaweza kumpigia kura yeyote.
lakini mwanachama ulieshiba itikadi ni lazima upigie kura chama chako kwasababu:malengo makuu ya chama chochote cha siasa ni kushika hatamu,sasa chama chako kitashikaje hatamu ilhali unakinyima kura?
 
Tulia gari limeisha shika mteremko wewe ccm kama mm usijifiche viongozi wajuu nawanachama wote wapenzi pia watu wamabadiliko wote wakataa ubaguzi namanyanyaso wote kura ni yeye aka lisu ndio mgombea mwenyenguvu anaeweza kuipiga ccm nashangaa wewe ni act wawapi jidanganye nikura yako tu ndio itaenda ccm lakini zafamilia yako watachagua uhuru haki namaendeleo yawatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…