Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna watu hawaoni hili kama ni tatizo.Wanadai CDM wanajitekenya! Tuendelee kushangilia ushindi wa kishindo na tushangilie pia mavuno yakianza (bei ya saruji imeanzisha safari kama sukari ilivyokuwa).Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .
Mungu ibariki Chadema .
Imeandikwa miaka mingi iliyopita kwamba Shetani hana rafiki , waache waendelee kujisahauKuna watu hawaoni hili kama ni tatizo.Wanadai CDM wanajitekenya! Tuendelee kushangilia ushindi wa kishindo na tushangilie pia mavuno yakianza (bei ya saruji imeanzisha safari kama sukari ilivyokuwa).
Nilishaacha kushiriki misa za makanisa tangu makanisa yalipogeuka kuwa maficho ya wanasiasa wahalifuHalafu kuna mtu akapanga sinema ya kwenda kutubu dhambi zake na kupewa sakramenti kanisani jumapili, bila aibu na picha zikapigwa za kutosha. Acha aendelee kumdhihaki mungu tu.
Hao itapangwa sinema moja hivi ameizing watolewe kwa msamaha wa rais, ili aonekane ni mtu wa kusamehe.
Halafu "mwenyewe" kaondoka na kuwaachia mbunge mmoja!Taarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .
Mungu ibariki Chadema .
Kawasaidie huko mahakamaniTaarifa hii ya kusikitisha imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , alipokuwa anaongea na Gazeti la Mwananchi .
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba wengi kati ya waliokamatwa wamepewa kesi za uongo zisizo na dhamana za Mauaji , Uhujumu uchumi , Ugaidi , Unyang'anyi na kukutwa na vifaa vya milipuko ili kuwakomesha .
Mungu ibariki Chadema .
Wewe je?Hili jiwe halina hofu yoyote na Mungu,ni maigizo tu!shame
Hivi huko kanisani huwa anaenda na yake ma AC yake?Halafu kuna mtu akapanga sinema ya kwenda kutubu dhambi zake na kupewa sakramenti kanisani jumapili, bila aibu na picha zikapigwa za kutosha. Acha aendelee kumdhihaki mungu tu.
Hao itapangwa sinema moja hivi ameizing watolewe kwa msamaha wa rais, ili aonekane ni mtu wa kusamehe.
Kitu/Cheo unachopata kwa njia ya haramu, ni haramu tu mbele ya mungu (hakuna njia ya kukitakatisha, hata kwa kutubia ni haramu).
Umeandika kijinga sana !Ndio acha wakae huko huko ili wajifunze maana wakati tunawashauri hapa kuwa wasifuate kauli za wanasiasa Malaya Malaya Hawa wa upinzani hawakusikia.
Leo hii aliewajaza na kuwafanya wajihisi wapo juu serikali kawatelekeza yupo zake Ulaya ana kula, kunya na Kulala.
"Mwanasiasa wa kumwamini ni yule Alie kufa tu" Mimi.
Mbona kina Mboye, Mnyika na Lissu yanaendelea kula BATA kitaa.au ndio walishakiza mbwa wao wakawahi kwenye TV kuangalia matukio tu.Duh,tena hapo 350 ni viongozi ila wafuasi waliokamatwa kwa visingizio vya kufanya fujo wanafika 1000
Hamna anaekula bata,hao walishakamatwa ila ilikuficha kinachoendelea ili dunia isijue ikabidi waachiweMbona kina Mboye, Mnyika na Lissu yanaendelea kula BATA kitaa.au ndio walishakiza mbwa wao wakawahi kwenye TV kuangalia matukio tu.