Huyu bwana ni shetani na mnafiki mkubwa. Halafu anataka aufiche ushetani wake kwenye kichaka cha dini.
Sisi sote ni wadhambi lakini siyo kwa ushetani huu wa huyu bwana. Unaua, unateka, unatesa, unapora kura, unafunga wasio na hatia, halafu unatakatisha ushetani wako kwa madhabahu ya Bwana.
Bwana Mungu wetu, nyumba yako siyo genge la watu kwenda kufichia uovu wao. Tunaomba uwaumbue, uwafedheheshe na uwaadhibu wale wote waitumiayo ama nyumba yako au neno lako kwa hadaa na huku mikono yao ikiwa imejaa damu za wanaouawa kwa amri zao.
Wewe Bwana hukawii, bali hujibu maombi yetu kwa wakati ufaao.
Sent using
Jamii Forums mobile app