Uchaguzi 2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

Dhalimu akitawala nchi huugua
 
Tatizo ni kwamba watu tumekuwa wajinga kupitiliza,kujifanya mwanaharakati wakati wanaokutuma wapo nje,haya waliyempigania mwenyewe kashakimbilia ughaibuni.
Kawaacha mahabusu kashindwa kufanya mikakati ya kuwatoa
Halafu unalaumu watu,hatujui kuwa siasa ni kipaji na wote walioshindania viti hivyo wapo huru walioshindwa wametulia makwao.
Walioshinda hongera zao wakaijenge nchi Kama walivyotuaminisha,iwe kwa uongo au ukweli.
Lakin tusiokuwa na mtazamo wa mbali ndio tupo MAHABUSU.
Inauma sana lakin lazima tujitathimini na siasa za nchi hii.
Heri kuwa mlevi wa gongo kuliko kuwa shabiki wa siasa za kiafrika
 
hajui katiba ya nchi wewe
 
Mkoa wa Dodoma sehemu kubwa ya waliowekwa ndani na kufunguliwa kesi ni wale ambao Walikuwa Wagombea au Viongozi au Wananchi wa Kata ambazo tulishinda na hatukutangazwa,pia kwa sehemu ni wale ambao wana misuli ya Kisiasa lakini pia idadi inazidi kuongezeka kila kukicha.
 
Kuna jitu j2 utakuta linapokea sakramenti ya meza ya bwana na macamera kibao
 
HAO WATUHUMIWA NI MAGAIDI KABISA. TENA WAFUNGWE MIAKA MINGI SANA.
 
Hapo umejumuisha na walioponda watu matofali kichwani na kuua kule Njombe na Singida.

Nashauri uweke pia sababu za kushikiliwa kwao
 
Usihukumu
 
Afu mtu kwa urahisi kabisa anasema eti tuanze maridhiano kama Taifa. Unaanzaje kuzungumza kwa mazingira haya?

Poleni sana makamada mlioko magelezani na wahanga wote wa uchaguzi.... u will soon be recognised!!
 
RPC wa Dodoma na RPC wa Singida majina yao yamo kwenye nyaraka zilizosogezwa kwenye mahakama ya uhalifu
Afu mtu kwa urahisi kabisa anasema eti tuanze maridhiano kama Taifa. Unaanzaje kuzungumza kwa mazingira haya?

Poleni sana makamada mlioko magelezani na wahanga wote wa uchaguzi.... u will soon be recognised!!
Hakika !
 
Mwabieni mwanasheria nguri Tundu Lisu aje awashughulikie maana walifanya makosa wakijua yupo bingwa wa sheria.

Sasa mwanasheria kawakimia sijui watarudi kwa kibatara?
Na kwa sasa hakuna ruzuku nyingi nadhani sasa mtakuwa na nidhmu kwa kufuata sheria.
 
Nilishaacha kushiriki misa za makanisa tangu makanisa yalipogeuka kuwa maficho ya wanasiasa wahalifu
Usisahau kila mmoja wetu atawajibika kwa MWENYEZI MUNGU peke yake. Fanya uliyoamrishwa NAYE. Usiangalie mwingine akakukwaza kutii amri za MUNGU. Siku ya Mungu unaifanyia wapi? Kuna maelezo sio kila mahali wala nyumbani. Na mengine. Je 10% ya zaka unajilipa mwenyewe? Kusaidia maskini ni tofauti na zaka ni kuwa na upendo kwa jirani.
 
Haya Mungu anayasamehe kwa kuweza kutuepusha na alshababu. Mnajua hili jambo lilivyo. A NGALIA JIRANI YETU NA SASA MSUMBIJI
 
Mungu ilaani chechemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…