Wanachama wa JamiiForums waliotambuliwa kwa kuwa na michango chanya Jukwaani kwa mwaka 2024

Katika kuendeleza dhamira yake ya kuthamini na kuhimiza uzalishaji wa maudhui yenye ubora na tija mtandaoni, JamiiForums usiku wa leo, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa Shindano la Stories of Change 2024, inawatambua Wanachama wake watano waliotoa michango chanya mwaka huu 2024 ndani ya Majukwaa yake.

Wanachama hao watapokea zawadi maalum kama sehemu ya shukrani kwa juhudi zao za kudumu na mchango wao wa kipekee katika kuzalisha maudhui yenye maana kwenye jukwaa.

Hafla ya utoaji tuzo kwa washindi wa Stories Of Change 2024, soma LIVE - Yanayojiri katika usiku wa kutoa zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024
Majukwaa labda yapo 40, mnatoa kwa wadau 5, tuanzie hapo mkuu! Kabla sija comment mna upendeleo kwa masela wenu.
 
Back
Top Bottom