DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Unajuaje kama ni activeActive huwa hanipendi ananilima Ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje kama ni activeActive huwa hanipendi ananilima Ban.
Ukiona unakomenti hapa muda huu ujue haupoNisippkuwepo hiyo list ni batili.
Changamoto ni kwamba kuna username nyingine kuzitaja hadharani ni tatizo ebu ona kitu kama kitombile au inamanikuswekeShida mnataja real names..!! Ingependeza hata huko tuzoni mtaje fake names According to his/her USERNAME ID..
Basi acha ubatili uendelee.Ukiona unakomenti hapa muda huu ujue haupo
Mimi nitapata tuzo ya uvumilivu,wewe ukipigwa ban ya mwaka mzima si utakufa njaa.Kwanza unatakiwa upigwe ban na leo pia.
Wewe utapewa tuzo ya ujinga na umbumbumbu 😀😀😀Mimi nitapata tuzo ya uvumilivu,wewe ukipigwa ban ya mwaka mzima si utakufa njaa.
Change your fingertips
Kuna msosi kweli?
active nasikia ni mdada flani bongeUnajuaje kama ni active
Mi najiuliza wanatumia vigezo gani kuita kushuhudia?nikiitwa mniamshe nalala
Hamna ni mwana.active nasikia ni mdada flani bonge
AiseeeNdio wanapitisha msosi hapaView attachment 3102333
Na mimi nalipia Platinum mwakani.Huyu hawezi kukosa😀😀
SubiruMshakula?
JF sio mamlaka ya mapato 🏃🏿Hivi izi sio kodi zetu izi mnazokunywa uko?
Hizi hazipo😂😂😂🤣Ndio wanapitisha msosi hapaView attachment 3102333
Hivi ni bei gani kua platinum member??Na mimi nalipia Platinum mwakani.
Mi najiuliza wanatumia vigezo gani kuita kushuhudia?