Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Hamna kitu yupo Ileje uko internet inasoma E.inategemeana muulize Lucas Mwashambwa yeye yupo kwenye tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu yupo Ileje uko internet inasoma E.inategemeana muulize Lucas Mwashambwa yeye yupo kwenye tukio
Points zihusikeKatika kuendeleza dhamira yake ya kuthamini na kuhimiza uzalishaji wa maudhui yenye ubora na tija mtandaoni, JamiiForums usiku wa leo, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa Shindano la Stories of Change 2024, inawatambua Wanachama wake watano waliotoa michango chanya mwaka huu 2024 ndani ya Majukwaa yake.
Wanachama hao watapokea zawadi maalum kama sehemu ya shukrani kwa juhudi zao za kudumu na mchango wao wa kipekee katika kuzalisha maudhui yenye maana kwenye jukwaa.
Hafla mbashara ya utoaji tuzo kwa washindi wa Stories Of Change 2024, soma Yanayojiri katika usiku wa kutoa tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024
Kusema kweli sijui ila nitalipia.Hivi ni bei gani kua platinum member??
Nimecheka sanaAnza kujibu Vibaya Sasa
ahahah kasema yupo liveHamna kitu yupo Ileje uko internet inasoma E.
Yule alichezeaga ignore kwangu sionagi utumbo wake.ahahah kasema yupo live
Yaani wakupe na nauli?
Huyo jamaa yeye ndio anatakiwa aipe tuzo JF kwa kumvumilia kwenye kila uzi yeye ana comment tu, "Ngoja waje kukupa muongozo"Smart911 Pia! Anastahili tuzo asee
We Mod umekuja na account tofautiKuwatambua wanachama wenye michango chanya katika JamiiForums ni hatua nzuri. Hapa kuna vigezo na masharti ambayo yanaweza kusaidia katika mchakato huo:
Vigezo vya Kutambua Wanachama
1. Ushiriki wa Mara kwa Mara: Wanachama wanapaswa kuwa na ushiriki wa mara kwa mara kwenye majadiliano na michango yao iwe ya maana.
2. Ubora wa Michango:
Michango inapaswa kuwa na maudhui mazuri, yenye taarifa sahihi na inayosaidia kujenga mjadala mzuri.
3. Kujenga Jamii:
Wanachama wanaotafuta kujenga jamii kwa kutoa msaada na ushauri kwa wengine wanapaswa kupewa kipaumbele.
4. Kukataa Matusi:
Wanachama ambao wanajitenga na lugha za matusi na dhihaka wanapaswa kutambuliwa.
5. Kushiriki katika Matukio ya Jamii: Wanachama wanaoshiriki katika matukio au miradi ya kijamii wanapaswa kupewa sifa.
Masharti
1. Muda wa Ushiriki:
Wanachama wanapaswa kuwa kwenye jukwaa kwa kipindi fulani, kama vile mwaka mzima, kabla ya kutambuliwa.
2. Usahihi wa Taarifa:
Wanachama wanapaswa kuwa na rekodi nzuri na wasiwasi wowote kuhusu tabia zao utachukuliwa kwa makini.
3. Kukubali Maamuzi:
Wanachama wanapaswa kukubali maamuzi yatakayotolewa na timu ya uongozi bila malalamiko.
4. Kujitolea kwa Jamii:
Wanachama wanapaswa kuonyesha kujitolea kwa jamii na kutimiza malengo yaliyowekwa na JamiiForums.
5. Thamani ya Michango:
Michango inapaswa kupimwa kwa kiwango cha manufaa kwa jamii nzima, si tu kwa wanachama binafsi.
Hitimisho
Kwa kuzingatia vigezo na masharti haya, JamiiForums inaweza kuwatambua wanachama wenye michango chanya na kuhamasisha wengine kuchangia kwa njia bora.
HahahahahahahahaaMsitusahau na wenye michango hasi bila sisi wasingekuwepo wa chanya
bhnaYule alichezeaga ignore kwangu sionagi utumbo wake.
Huyo jamaa yeye ndio anatakiwa aipe tuzo JF kwa kumvumilia kwenye kila uzi yeye ana comment tu, "Ngoja waje kukupa muongozo"
Hahaha sio mimi labda.muhurumieh bhna