Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

UFUNUO 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, andika, heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao, kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

kufa sio kubaya kama umetengeneza mambo yako na Mungu, kuishi ni Kristo na kufa ni faida. ila shida inakuja kama haujaokoka, unajua kabisa ukifa unaenda moja kwa moja motoni, hiyo ni hatari. Kila mmoja wetu atambue kuwa yampasa kuokoka ili akifa sawa na asipokufa sawa. Dunia ya leo imefika mwishoni kabisa, mojawapo ya ishara ni injili kuhubiriwa kila kona, yapasa injili ihuburiwe kwa kila mtu ili asiwepo mtu atakayesema sikusikia. zamani ilikuwa nguvu ila sasaivi hata nchi zinazozuia injili ya Yesu Kristo wameshafikiwa kwa njia ya mtandao. na ikisambaa dunia yote tu basi na Yesu anarudi. hivyo tuwe tayari aidha kufa katika Kristo au kumlaki mawinguni.
 
Ndoa umeisahau
 
Mkuu
Bado unaishi?🤣
 
Kwakweli maisha ni mapito, nilimpoteza mama mzazi kwa pressure 2018, hakika inaumiza nafsi mno, nilitamani awepo aone mwanaye anavyopigana kimaisha.
 
Mpenzi wa Islam ... Mwenzetu wa jukwaa la dini ... Is id yake ina RIP though alifariki kitambo zaidi ya miaka miwili now ... Mola ampuzishe mahala pema... Pamoja na chetuntu.
Ni miaka 12 toka nilipoombeleza na kipindi hiko alikuwa na zaidi ya miaka 2 .. jumla ni miaka karibu 14...May Allah make it easy for him ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…