cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji120][emoji120]Aiseh!nimeumia
Apumzike kwa amani [emoji1431][emoji1431]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120][emoji120]Aiseh!nimeumia
Apumzike kwa amani [emoji1431][emoji1431]
Cha mzee magumashiBen au ?
Huyu mdau naye hatunaye?
Dah inasikitisha sana, namkumbuka huyu jamaaNilisikia za chini chini aliuwawa na majambazi alikuwa mfanyabiashara maarufu hapo K/koo!
Jamaa aliteseka sana.Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.) Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje? Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa...www.jamiiforums.com
Folk alifariki kimasikhara maskhara tu. Alinihuzunisha kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa na id ya jina la kike kama sikosei...Padri prudence kalugendo. I'd yake nimeisahau ila aliaga
duh kumbe huyu mwamba alishavuta? rip aisee.R.I.P lucas mwashambwa
Wadau hammkubali kabisa huyu kada...R.I.P lucas mwashambwa