Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

Wanakumbi.

🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.

View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

ILE KESI YA SOUTH AFRICA ILIISHIA WAPI? ISRAEL ILIFUNGULIWA KESI UKAWA UNAPAMBANA KUTU UPDATE MARA UKANYAMAZA HUKULETA TENA UPDATES.

Na hata vitani wenyewe wayahudi hawapigani kivile,ni mamluki ya nchi nyengine ndio wanajisajili IDF .

TENA? TUNAHAMISHA TENA MAGOLI? SI TULISEMA WAISRAEL WANAKUFA KAMA KUMBIKUMBI? KWELI BADO HATUJASEMA.
 
Computer Generated Voices.Katika kipindi ambacho Izrael anawahitaji na kuwaheshimu wakristu ni Sasa. Mzee wa madevu na makobazi kaamua kuingia studio ili kupata support ya wakristu😄😄😄😄
 
Christians who worship israel must watch this. They don't understand that israel isn't a birth place where Jesus was born.😅
Time will tell
Jesus was Black
 
Kubwa jinga hilo don't waste your time!
Haya. nyie wakristo mnaodhani eti Nitanyahu anawawakilisha katika taifa la kikristo huko Israel ipokeeni hiyo sheria kwa mikono miwili. Mtaelewa tu mwaka huu. Hamas kafumua nyoka pangoni.

Mtaifungia Al jazeera lakini dunia imeshawaelewe, kwani nguo mmevuliwa.

Yaani upo huru kutangaza Injili na kumtangaza yesu Tanzania, ila ukifika Israel ficha Biblia yako kwenye Begi. Hizo ndio habari za mjini, unaweza zipokee ama jinyonge.
 
Computer Generated Voices.Katika kipindi ambacho Izrael anawahitaji na kuwaheshimu wakristu ni Sasa. Mzee wa madevu na makobazi kaamua kuingia studio ili kupata support ya wakristu😄😄😄😄
"An update last week from the online encyclopedia Jewish Virtual Library (JVL) showed that Israel's population stood at about 9,842,000.

Regarding the Jewish and Arab populations, the former at the end of last year was 7.2 million, or 73.2% of the overall population. The Arab population constitutes 21.1% of the entire population and comes up to nearly 2.1 million. The population by religion saw that 18% of the country was Muslim, 2% Christian, and 2% Druze" Chanzo- Israel's population closing in on 10 million in 2024 demographic update

2 % ya jumla yote ya waisrael ni wakristo. Amkeni ndugu zanguni, hamtakiwi huko. Mnajikazanisha tu. Poleni sanaaaaaa!
 
Wanakumbi.

🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.

View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

1. MK254 akitokea kwenye nyuzi kama hizi tufahamishane.

2. Mafia dini yasiyotambua haki za wengine ila ufwedhuli tu ni kama mang'ombe tu;

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
Na Wakristo wengi nchini Tanzania, wanaunga mkono mauaji ya kimbari ya Israeli wakidhani Israeli itashiriki mambo yao na maeneo matakatifu pamoja nao.
Akili 0. Ndio tz imekuwa maskini miaka hio
 
Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?

Hao mazayuni na wakristo ni picha mbili tofauti. Unafikiri wanasahau walivyouliwa Ulaya na wakristo?
Waislam wote utoaji wao wa habari unafanana.. same aljazeera n.k leteni sababu ya kuuliwa kwa miaka 70... sio kutuambia tu wanaonewa,wanauwawa n.k mnaficha nini? au aibu kama za mtume wenu kusex na kibinti cha miaka 9
 
Wanakumbi.

🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...

😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.

View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

SASA WANAANZA KUUANA WENYEWE KWA WENYEWE...MUNGU MKUBWA SANA,SASA VILE VIKRISTO VYA BUZA VINAVYOSHADADIA BENJA KUUA WATU KULE GAZA WAJIANDAE MAANA KWA MUJIBU WA INJILI MIPAKA ASILI YA HAWA MASHOGA INAANZIA TANGANYIKA
 
Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
Yesu ni bwana wa amani kama ndugu yake Muhammad s.a.w. lakini wakristo hapana.
 
Mkiristo unayemuamini Yesu, kuiunga mkono Israel kwa sababu ya udini ni ujuha
 
Bado hamjasema,mtadandia vihabari mpaka mchoke.
Israel watoa adi roho za wakristo pia Gaza kuna makanisa na wakristo wapatao 50elfu
Screenshot_2024-04-03-16-45-21-113_com.twitter.android-edit.jpg
 
Back
Top Bottom