FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Waganga njaa.Na hata vitani wenyewe wayahudi hawapigani kivile,ni mamluki ya nchi nyengine ndio wanajisajili IDF .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waganga njaa.Na hata vitani wenyewe wayahudi hawapigani kivile,ni mamluki ya nchi nyengine ndio wanajisajili IDF .
Wanakumbi.
🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...
😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.
View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Na hata vitani wenyewe wayahudi hawapigani kivile,ni mamluki ya nchi nyengine ndio wanajisajili IDF .
Time will tellChristians who worship israel must watch this. They don't understand that israel isn't a birth place where Jesus was born.😅
Haya. nyie wakristo mnaodhani eti Nitanyahu anawawakilisha katika taifa la kikristo huko Israel ipokeeni hiyo sheria kwa mikono miwili. Mtaelewa tu mwaka huu. Hamas kafumua nyoka pangoni.Kubwa jinga hilo don't waste your time!
"An update last week from the online encyclopedia Jewish Virtual Library (JVL) showed that Israel's population stood at about 9,842,000.Computer Generated Voices.Katika kipindi ambacho Izrael anawahitaji na kuwaheshimu wakristu ni Sasa. Mzee wa madevu na makobazi kaamua kuingia studio ili kupata support ya wakristu😄😄😄😄
Wanakumbi.
🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...
😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.
View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Akili 0. Ndio tz imekuwa maskini miaka hioNa Wakristo wengi nchini Tanzania, wanaunga mkono mauaji ya kimbari ya Israeli wakidhani Israeli itashiriki mambo yao na maeneo matakatifu pamoja nao.
Waislam wote utoaji wao wa habari unafanana.. same aljazeera n.k leteni sababu ya kuuliwa kwa miaka 70... sio kutuambia tu wanaonewa,wanauwawa n.k mnaficha nini? au aibu kama za mtume wenu kusex na kibinti cha miaka 9Wapalestina wachokozwe nini tena na wanauliwa kwa miaka zaidi ya 70 mfululizo? Ulikuwa huyajuwi hayo?
Hao mazayuni na wakristo ni picha mbili tofauti. Unafikiri wanasahau walivyouliwa Ulaya na wakristo?
Wanakumbi.
🇮🇱 Wanachama wa muungano wa Netanyahu wanatayarisha Mswada unaolenga kuwafunga Wakristo kwa kushiriki Injili na kuwaambia watu kuhusu Yesu...
😅 Wanasema demokrasia pekee katika Mashariki ya Kati.
View: https://x.com/dmodoscutter/status/1775186381305729130?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yesu ni bwana wa amani kama ndugu yake Muhammad s.a.w. lakini wakristo hapana.Hakuna mkristo anaunga mkono mauaji,bali tunalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya kinyama dhidi ya wayahudi bila kuchokozwa.Ukristo ndio msingi wa amani duniani kwa kuwa Yesu kristo ni bwana wa amani.
🤣🤣🤣 kwamba hujamsikiliza huyo mtangazaji hapo kutokea israeli au habari imekua chungu kumezaa. Jikaze kwani sh.ngapi hahahahaBado hamjasema,mtadandia vihabari mpaka mchoke.
Israel watoa adi roho za wakristo pia Gaza kuna makanisa na wakristo wapatao 50elfuBado hamjasema,mtadandia vihabari mpaka mchoke.
1. MK254 akitokea kwenye nyuzi kama hizi tufahamishane.
2. Mafia dini yasiyotambua haki za wengine ila ufwedhuli tu ni kama mang'ombe tu;
Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko