Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza!

Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate muwekezaji serious.

Sisi ni mabingwa wa ku delay kuchukua hatua! Kuna watu wachache wameiteka hii timu wanacheza na akili zetu. Mnapaswa kuamini kwa ukubwa wa Simba tunaweza kupata wawekezaji wa maana tuache unyonge.

Ila kwa mikutano ya wanachama kama ile ya Mwl Nyerere conference HATUTOBOI! Wanachama wengi wanegeuka machawa tu 😟
 
Hivi kwenye hili John Heche, Boni yai na Makonda wakiungana si tunasambaratisha ile management na bodi yake? 😟
 
Back
Top Bottom