Wanachama wa Simba tumelazimishwa kupitisha muundo mpya wa Club...

Mikia malizeni mchakato wenu huu wa kuiuza timu yenu,baada ya muda mtakuja kusikia timu ya wananchi mpango tunaokuja nao ni zaidi ya huo wenu wa bln kwa 20 kwa mwaka
 
Timu ishauzwa kwa Kanjibai..wazee na mafukara wameuza club kwa pilau na maji...aisee...
 
Mimi yanga,nimeona mmekubali wenyewe tena mkishangilia simba simba,huko kulazimishwa kunatoka wapi,acha kuanzisha marumbano.
 
Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Hii ndio mijitu inayoturudisha nyuma hadi kwny masuala ya kitaifa jitathmini ikiwa ww ulizaliwa kambolo kidogo au kakuma kadogo lkn sa hv hadi Mkono unapita na mivuzi hihaa ndio mabadiliko hayo sasa unataka ss tuwe kama hao ccm wa yanga ambao hawapendi maendeleo,,,, tuachie mpira wetu nenda kwa wanemba wenzio yanga ndo bado wanang'ang'ania kukodisha timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mbumbumbu kazi mnayo. Eti tenda?
Mnunuzi tayari mna mkataba naye. Hiyo mikutano ni kuinidhinisha tu
Kanjibai Mo anachekelea taratibu
Mkumbuke Mbagala Market na Singida United. Atawatosa mbele ya safari akiona hesabu haziendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…