Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hatutaki upuuzi huo. Endeleeni kulumbana wenyewe huko huko matopeniUtakuwa mchawi wewe so bure. Nenda Yanga huko bado hawajaanza mfumo wanaoenda nao Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
UMESHINDWA KTK MKUTANO, UTAWEZA HAPA. JitathiminiMkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Kanjubhai ana mambo mengine ya muhimu zaidi kudili nayo, hana muda na yanga siku hizi, Mchemba labda ndo awe majority share holder!Yanga hatutaki upuuzi huo. Endeleeni kulumbana wenyewe huko huko matopeni
Kura pia umezuiwa kupiga?Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Mbona hamtaki kusogea mbele. Kila siku mnataka kukaa kama mko mwaka 70Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
hivi simba na yanga zina wenyewe!!?..acha ziendeshwe kibiashara vijana wapate ajiraTimu ishauzwa kwa Kanjibai..wazee na mafukara wameuza club kwa pilau na maji...aisee...
Hii ndio mijitu inayoturudisha nyuma hadi kwny masuala ya kitaifa jitathmini ikiwa ww ulizaliwa kambolo kidogo au kakuma kadogo lkn sa hv hadi Mkono unapita na mivuzi hihaa ndio mabadiliko hayo sasa unataka ss tuwe kama hao ccm wa yanga ambao hawapendi maendeleo,,,, tuachie mpira wetu nenda kwa wanemba wenzio yanga ndo bado wanang'ang'ania kukodisha timuMkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...