Wanachama wa Simba tumelazimishwa kupitisha muundo mpya wa Club...

Mikia malizeni mchakato wenu huu wa kuiuza timu yenu,baada ya muda mtakuja kusikia timu ya wananchi mpango tunaokuja nao ni zaidi ya huo wenu wa bln kwa 20 kwa mwaka
Hehehe ofsi kuu ya timu inataka kupigwa mnada Kwa kushindwa kulipa m.300 tu bado mnajisifia,!?ulitakiwa uwe Wa kwanza kuona aibu....!!
 
Kweli mbumbumbu kazi mnayo. Eti tenda?
Mnunuzi tayari mna mkataba naye. Hiyo mikutano ni kuinidhinisha tu
Kanjibai Mo anachekelea taratibu
Mkumbuke Mbagala Market na Singida United. Atawatosa mbele ya safari akiona hesabu haziendi
Acha wivu Wa kike,kachangishaneni kwanza mkalipe deni lenu tra
 
Una tatizo haiwezekani huo mfumo upitishwe na wote 99%
 
Yaani wewe usipopigwa ban naleft JF,umeandika sehemu za uzazi live halafu usipigwe ban.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tatizo haiwezekani huo mfumo upitishwe na wote 99%
Itakuwa walipewa pilau na posho kwenye mkutano. Kazi yao ilikuwa kuitikia Ndiyo kila kitu. Huyo mmoja aliyejaribu kuleta hoja mbadala alizomewa na walioshiba pilau
 
Yanga Bingwa mara 27 aige kwa Simba Bingwa mara 18?
Mkuu acha unazi. Duniani kwa sasa mpira ni biashara mambo ya ridhaa yamepitwa. Wewe tu uko nyuma lakini baadhi ya Ndala wenzako hawawezi kukataa

Mko njiani tayari Simba imefungua njia
 
Mkuu acha unazi. Duniani kwa sasa mpira ni biashara mambo ya ridhaa yamepitwa. Wewe tu uko nyuma lakini baadhi ya Ndala wenzako hawawezi kukataa

Mko njiani tayari Simba imefungua njia
Tutakuja tofauti. Siyo kumkabidhi timu mtu kiurahisi namna hiyo.

Mkuu, hebu niambie. Hivi thamani ya Simba ni kiasi gani? Hizo bei mnapaje? Kazi ya kwanza kwa wote Yanga na Simba ni kujua thamani ya timu ! Kwenye thamani tusisahau thamani ya brand name ! Mo, kama Manji, kafuata brand name

Tuweke watalaam watupe thamani kwanza
 
Itakuwa walipewa pilau na posho kwenye mkutano. Kazi yao ilikuwa kuitikia Ndiyo kila kitu. Huyo mmoja aliyejaribu kuleta hoja mbadala alizomewa na walioshiba pilau
Kila kitu siyo ya kubisha mkuu walichokifanya simba ni cha maana
 
Kila kitu siyo ya kubisha mkuu walichokifanya simba ni cha maana
Idea nzuri lakini lakini namna ilivyofanywa ndiyo tatizo kwa siku za usoni. Nani kasema value ya Simba ni hiyo billion 20?

Brand name za Yanga na Simba , ukiacha vitu vingine, zina value kiasi gani?
 
Idea nzuri lakini lakini namna ilivyofanywa ndiyo tatizo kwa siku za usoni. Nani kasema value ya Simba ni hiyo billion 20?

Brand name za Yanga na Simba , ukiacha vitu vingine, zina value kiasi gani?
Ni brand zinazojulikana lakini unaamini kuna matajiri waliotayari zaidi ya hiyo billion 20?
 
Nenda Yanga, wao hawataki huu mfumo, mfumo uutakao utaukuta huko!
Hata kwenye matatizo yenu lazima mumtaje Yanga maana ndio mume na kama ilivyo ada kwa mke kutumia surname ya mume.

Day Young Africans...bingwa mara 27, timu pekee ya Tanzania iliyoenda ugenini, ikakinukisha na kubeba kombe kulileta nyumbani.
 
Kweli mbumbumbu kazi mnayo. Eti tenda?
Mnunuzi tayari mna mkataba naye. Hiyo mikutano ni kuinidhinisha tu
Kanjibai Mo anachekelea taratibu
Mkumbuke Mbagala Market na Singida United. Atawatosa mbele ya safari akiona hesabu haziendi
Watu wanashangilia kama vile shughuli imekwisha, muda ni mwalimu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…