Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,296
Hehehe ofsi kuu ya timu inataka kupigwa mnada Kwa kushindwa kulipa m.300 tu bado mnajisifia,!?ulitakiwa uwe Wa kwanza kuona aibu....!!Mikia malizeni mchakato wenu huu wa kuiuza timu yenu,baada ya muda mtakuja kusikia timu ya wananchi mpango tunaokuja nao ni zaidi ya huo wenu wa bln kwa 20 kwa mwaka