Wanachama wa Simba tumelazimishwa kupitisha muundo mpya wa Club...

Mkutano unaendelea Mwenyekiti katuburuza na kutunyima nafasi ya kuuliza maswali...waliwapanga watu wao 3...wakaishia kupongeza tu...tunaomba Vyombo vinavyofuatilia mchakato huu waingilie kati...
Thibitisha Kwanzaa Kuwa hao watu watatu walioongea walipangwa kabla na wenzako hawajakushuku wewe ni masalia ya kilomoni na yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gongo wazi bhana kwa hiyo unataka wazee wanafiq na maskini kama akina akilimali ndio wanunue timu????

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Lini mlianzisha kitu cha maana zaidi ya kuiga kwa Simba. Tunawabiri ntakuja tu
Utakuwa wewe ni katoto ka shilawadu..Yanga toka miaka ya 90 mchakato ulianzishwa kukatokea mtafaruku ukazaa Yanga kampuni na Yanga asili...MO hana jina jipya..msikilizeni Mzee Kilomoni..sisi Yanga tunafanya mazungumzo na Etihad soon kila kitu wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…