Kwa ufupi wanachama tumepewa 10% ya "cooked value" 40billion kikubwa hatujulikana tupo wangapi na kila mmoja atapata kiasi gani in terms of share value.Dewji anasubiria kupewa 50% ya club sio kupewa bali ni kuuziwa nusu ya club (maskini wazee wa kubebwa na mabasi jana wakadanganywa na Haji manara zero eti club haiuzwi wala hapewi mtu...huyu jamaa hajitambuagi.utaratibu wa kumpa dewji umetangazwa jana kwamba badala ya kuuza hizi share kwa njia ya Public IPO watatangaza watu waombe kwa njia ya tenda arafu atakaeibuka mshindi ndio atapewa club (50%) eti pia lazima awe mwachama wa simba ahaa (wakati tumeambiwa wanachama sie wachovu..inachanganya).sasa unategemea nini kama kamati yenyewe itakuwa imejaa wadosi watupu wakina Ramesh, makamu wa Rais wa simba kwa sasa Yule muhindi/mwarabu koko na akina kassim dewji unadhani watampitisha nani?sikatai wala simpingi dewji ila ukweli usipotoshwe...kilichoniuma zaidi ni kwamba tofauti na dewji atakayepewa 50% sisi tulobaki woote kwa sasa haturuhusiwi kununua zaidi ya zile 10% tutakazogowawiwa woote sawa sawa kwani na zile 40% zilizobaki hazitouzwa mpaka badae sana(undefined period of time) hi manake nini dewji akishachukua timu baada ya muda atakuja na pendekezo la kwamba timu inatakiwa pesa zaidi kapata wawekezaji so tuuze 40 zilizobaki kwa kuwapa kipaumbele wanachama of which obviously tutashindwa au kwa kutumiwa mamluki wake Wale wanachama wala ubwa kubwa wazinunue kisha aje anunue badae kutoka kwao kwa lengo la kufikisha 51% na hapo ndo tutakuwa tumeuza club tayari yote