Wanachama wa vyama vya siasa na wadau wa siasa kwa ujumla acheni mihemko, mizaha na matusi kwenye mijadala yenye maslahi muhimu kwa taifa

Kama yupo hawezi kuibariki na ndio maana tunatekana.
 
Anza kujitambulisha wewe ni wa chama gani,ili tuende sawa.
 
Kwakuwa kazi uliyojipa ama kupewa ni ya kuwahadaa wale unaomudu kuwa hadaa.
 
Kwakuwa kazi uliyojipa ama kupewa ni ya kuwahadaa wale unaomudu kuwa hadaa.
gentleman,
sina haja wala sababu hata moja kuhadaa mwananchi kama wewe ambae ndio kwa kiwango kikubwa unanitegemeza. Huo utaku ni ukatili mbaya sana wa kisaikolojia.

hata hivyo,
ni hiyari kua mustaarabu na mwenye heshima kwenye mijadala, lakini sio lazima kuhasimiana eti kwasababu tu kuna utofauti wa mirengo ya kisiasa.

nakutakia Christmas njema na heri ya mwaka mpya2025 in advance, gentleman
 
Anza kujitambulisha wewe ni wa chama gani,ili tuende sawa.
articles za wadau zinatambulisha mirengo ya vyama vyao kwa uwazi sana gentleman

huwezi kubabaika wala kupata mawenge kutambua nani ni nani wa chama gani katika siasa za Tanzania, huhutaji kuwa mbobevu wa chuo kikuu kwenye hili
 
Hakuna tofauti ya mirengo na sina mrengo wowote japo ulio na haki wowote ule utakuwa mrengo wangu,ukitaka ueleweke zungumzia jambo kwa uhalisia,acha mahaba,acha hadaa hata na uongo wenye kunufaisha upande uliochagua,kwa maslahi ya nani hayo nakuachia mwenyewe.
 
articles za wadau zinatambulisha mirengo ya vyama vyao kwa uwazi sana gentleman

huwezi kubabaika wala kupata mawenge kutambua nani ni nani wa chama gani katika siasa za Tanzania, huhutaji kuwa mbobevu wa chuo kikuu kwenye hili
Hata huo mremgo wako ungekuwa ni wahaki ungenikuta humo
 
Hata huo mremgo wako ungekuwa ni wahaki ungenikuta humo
ni uhuru na haki ya kikatiba kwa kila mwananchi kua katika mrengo wa kisiasa amboa anaona unamfaa..

ustaarabu na kuheshimiana lazima paanzie hapa gentleman
 
Ukiwa hujali utu utapopolewa tu ili ukae sawa
gentleman,
msingi mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ni utu na usawa wa mwanadamu. Na huo ndio mwanzo wa siasa safi za ujamaa na kujitegemea Tanzania. Ukinunua kitu kwa pesa yako mwenyewe unashukuru kwa kusema asanti, ukipewa kitu au kusaidiwa jambo vile vile unashukuru kwa kusema asanti.

huo ndio ustaarabu na huko ndiko kuheshimu utu wa kila mtu na si vinginevyo.

Mary Christmas and happy new year in advance gentleman
 
ni muhimu sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo gentleman
Mimi siwezi,nitachagua mambo ya kumshukuru.
Yaani na wale walioamua kwenda mbinguni na ndugu yetu JPM kwa hiyari yao nisishukuru kweli?

Ila hili la kuwafukuza wana Ngorongoro na kugawa malalio yetu kama zawadi kwa DP world siwezi kutoa shukrani kwakweli.
 
Utajua hujui we jichanganye tu, utayaoga
 
bas kua huru kumshukuru Mungu kadiri uonavyo inafaa gentleman πŸ’
 


Wewe nenda kwa machawa wenzako tuache sisi tupiganie nchi. Ustaarabu upi kwa hali hii yaani nchi iko kwenye ajali halafu tuwe na utilivu toa ndoto zako hapa tuache na minadala yetu. Is too late now! Hiyo treni imeshaondoka muda urasuburi sana hapa ni mwanzo tu mwaka kesho utulivu sahau gentle
lady
 
mihemko sio deal na sio ustarabu mzuri hata wa kufikia malengo binafsi tu gentleman, sembuse malengo ya jumla?


nadhani alie too late inaweza kua ni wew binafsi pekee. kwamba mwaka unaishi, hujatimiza lengo hata moja,eti sasa hivi ndio unachanganya miguu 🀣

that is too late,
relax na ujipange kwajili ya mwaka ujao gentleman.

kama taifa, kistaarabu kabisa tunajipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, baada ya kumaliza kwa mafanikio makubwa sana uchaguzi muhimu wa kihistoria wa serikali za mitaa.

ustarabu umefanya uchaguzi huo muhimu kua wa amani na Utulivu sana πŸ’
 


Utaniambia mwaka kesho si unakuja! Hii nchi wanaigeuza kuwa radical polepole hata vyama tutaona viongozi radical zaidi na mimi sijasema hii ni nzuri lakini nachosema ni matukio ya chama tawala na serikali ndiyo yametufikisha hapa
 
Utaniambia mwaka kesho si unakuja! Hii nchi wanaigeuza kuwa radical polepole hata vyama tutaona viongozi radical zaidi na mimi sijasema hii ni nzuri lakini nachosema ni matukio ya chama tawala na serikali ndiyo yametufikisha hapa
Gentleman,
Kama mdau muandamizi katika siasa za Tanzania, mwaka ujao wa fedha na uchaguzi mkuu, utakua ni mwanzo wa mageuzi na mabadiliko makubwa mno ya kisiasa, kijamii na kiuchumi katika Taifa letu.


Tanzania inakwenda kuweka historia katika bara la Africa kwa kufanya uchaguzi mwingine ambao ni wa amani zaidi, pengine kuliko hata ule wa marekani katika ngazi za ubunge, udiwani na urasi.

Tujipange vizuri kama Taifa ndrugu zango πŸ’
 

Changuzi mnazikuza tu hata huu uchafu uliopita unaitwa uchaguzi. Mimi naongelea hali halisi za watu na mambo tunayo yaona ground. Hizi chaguzi ni ratiba tu. Tanzania tuna dharaulika kuliko 2021 na 2022
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…