RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Gentleman,Sku mkipigana vita na mkachinjana km kuku ndo mtajua hakuna haja ya ustarabu ktk maslai ya nchi
Kila mtu ananjia zake za kufikisha hoja na kwa mwanasiasa anaejitambua na kujielewa matusi na kutukana ni moja ya njia za kufikisha naona
Na km ww ni kiongozi utaki matusi na kutukanwa bas jua ujakomaa kisiasa na kifikla
Ata ktk siasa za ulaya na marekan tunaona wanasiasa wanatukanana
Kama wanavyobwelambwela unaojifunza sii hasaa kutoka kwao?ukienda kwenye huku ukiwa na dhana potofu kama hiyo utaambulia hicho ndicho kilichokua kwenye mindset yako, kwasabb you will completely not be serious to the whole process..
ndiyo ile waswhahili walisema,awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.
If you think and trust in failure, you will fail taribly without contradictions π
jifunze kuziendea changamoto kwa kwa utulivu wa fikra, hekima na busara ili hatimae uibuke na suluhusho muafaka la uhakika,
vinginevyo uta mbwelambwela mno bila muafaka bila suluhisho π
umezungumza mambo ma4 tofauti na kujaribu kwa mtazamo wako, kuyafanya yawe na maana moja. Na hilo ni kosa kubwa sana la kiumajumui..Rushwa na kupindisha katiba pia ni matusi au nyie mnajua matusi ni nyoko tu
Kiongozi umepewa ofsi ya uma kutekeleza na kusimamia maitaji ya uma ila unaiba pesa na wakat mwingne unatoa bajeti ya uongo na isiyotekelezeka pia ni matusi kwa wananchi walokupa ofisi
Gentleman,Kama wanavyobwelambwela unaojifunza sii hasaa kutoka kwao?
Sawa tuila usituone mabwege ujue?Gentleman,
binafsi kama mwanasiasa mzoefu na mbobevu katika utawala na dipolomasia nafaidika mno na hoja, mada na mawaidha ya wadau wastaarabu humu JF, na hapo ndipo napojifunza, naongeza uelewa na Ufahamu, lakini pia nachota uzoefu mwingi zaid, na kufanya baadhi ya kazi na majukumu yangu katika kuwatumikia wananchi na umma wa waTanzania kua rahisi na wenye ufanisi wa kiwango cha juu sana π
RAIA FEKI ZINDUKA UKIMBIE NCHI ...TAYARI WANANCHI WAMESHA JUA KUWA CCM NI MAπ© YA RAIA FEKI WENZIO ...MWENZAKO ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE TAYARI YUPO MGUU MMOJA NDANI MWINGINE NJEKuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo labda ni dhaifu na yasiyo na mashiko kwa wakati huo.
Ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala, huna sababu hata moja kulazimisha hoja au kuhitimisha maoni yako dhidi ya mjadala mahususi jukwaani kwa kuporomosha dhihaka, kejeli na pengine matusi ya nguoni kwa mtoa hoja au wadau na wachangiaji wengine.
Tumia haki na uhuru wako wa kujieleza kwa staha na kuchochea uhai na afya ya mijadala ya kistaarabu ili hatimae kwa pamoja tujenge Taifa au jamii iliyostaarabika na yenye kuheshimiana.
Hekima ikuelekeze kukaa kimya, ama kuperuzi mada nyingine kwenye majukwaa mengine kujiliwza kidogo au kuchukua nafasi ya kupumzika kidogo ikiwa utakua umejiskia kuchoka kulingana na uwajibikaji wa majukumu mbalimbali ya kila siku.
Kua mstaarabu mwenye weledi na bora zaidi kadiri siku zinavyokwenda.
Aidha nawatakia wadau wote wa JF utulivu na maandalizi mema katika mapumziko ya sherehe za Christmass na mwaka mpya 2025.π
Mungu Ibariki Tanzania
unaweza kujiona bwege tu gentleman kwani ni uhuru na haki yako kufanya upendavyo πSawa tuila usituone mabwege ujue?
kwamba nikukimbie wew gentleman? dah π€£RAIA FEKI ZINDUKA UKIMBIE NCHI ...TSYARI WANANCHI WAMESHA JUA KUWA CCM NI MAπ© YA RAIA FEKI WENZIO ...MWENZAKO ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE TAYARI YUPO MGUU MMOJA NDANI MWINGINE NJE
Yes,Unamwambia mwananchi TRA imekusanya tsh bilion250 ndan ya nusu mwaka afu kesho tunaona kiongozi wa nchi anaenda kukopa tsh bilioni 3 kwa ajiri ya uboreshaji wa bandari ya mtwara.
Huoni km huo ni mzaha ni zarau ni matusi kwa wananchi
Matusi yako ya aina nyingi atakudanganya wananchi tena wenye akili timamu ni matusi sa sjui tunakataa matusi ya aina gan
KIMBIA WEEE SIBORA INGEKUWA KUNIKIMBIA MIMI ...KITAKACHO KUKIMBIZA NI WAZALENDOunaweza kujiona bwege tu gentleman kwani ni uhuru na haki yako kufanya upendavyo π
kwamba nikukimbie wew gentleman? dah π€£
mkimbizane huko kwenye chama chenu kalikogawanyika na mambo yenu ya upuppet na unpatriotic kwenye kachama kenu kasiasa , nje ya hapo ni nonsense gentleman πKIMBIA WEEE SIBORA INGEKUWA KUNIKIMBIA MIMI ...KITAKACHO KUKIMBIZA NI WAZALENDO