Wanachama wa vyama vya siasa na wadau wa siasa kwa ujumla acheni mihemko, mizaha na matusi kwenye mijadala yenye maslahi muhimu kwa taifa

Wanachama wa vyama vya siasa na wadau wa siasa kwa ujumla acheni mihemko, mizaha na matusi kwenye mijadala yenye maslahi muhimu kwa taifa

Sku mkipigana vita na mkachinjana km kuku ndo mtajua hakuna haja ya ustarabu ktk maslai ya nchi

Kila mtu ananjia zake za kufikisha hoja na kwa mwanasiasa anaejitambua na kujielewa matusi na kutukana ni moja ya njia za kufikisha naona

Na km ww ni kiongozi utaki matusi na kutukanwa bas jua ujakomaa kisiasa na kifikla
Ata ktk siasa za ulaya na marekan tunaona wanasiasa wanatukanana
 
Rushwa na kupindisha katiba pia ni matusi au nyie mnajua matusi ni nyoko tu

Kiongozi umepewa ofsi ya uma kutekeleza na kusimamia maitaji ya uma ila unaiba pesa na wakat mwingne unatoa bajeti ya uongo na isiyotekelezeka pia ni matusi kwa wananchi walokupa ofisi
 
Gentleman,
mawaidha yangu muafaka kwa wadau ni ya nia njema kabisa na ni hiyari kwa kadiri ya mtu anavyoona inafaa..

hizo roho za mauti na matukano kulingana na mantiki ya hoja yangu ni useless na completely nonsense miongoni mwa wadau waliostaarabika.

ni uhuru na haki ya kila mwananchi kutoa na kuwasilisha maoni na mtazamo wake popote kulingana na anavyoona inafaa.

hata hivyo,
heshima ni kitu cha bure.
Muheshimu anaekuheshimu asiekiheshimu usimjali na itapendeza zaidi 🐒
 
ukienda kwenye huku ukiwa na dhana potofu kama hiyo utaambulia hicho ndicho kilichokua kwenye mindset yako, kwasabb you will completely not be serious to the whole process..

ndiyo ile waswhahili walisema,awazalo mjinga ndilo litakalo mtokea.

If you think and trust in failure, you will fail taribly without contradictions 🐒

jifunze kuziendea changamoto kwa kwa utulivu wa fikra, hekima na busara ili hatimae uibuke na suluhusho muafaka la uhakika,

vinginevyo uta mbwelambwela mno bila muafaka bila suluhisho 🐒
Kama wanavyobwelambwela unaojifunza sii hasaa kutoka kwao?
 
Rushwa na kupindisha katiba pia ni matusi au nyie mnajua matusi ni nyoko tu

Kiongozi umepewa ofsi ya uma kutekeleza na kusimamia maitaji ya uma ila unaiba pesa na wakat mwingne unatoa bajeti ya uongo na isiyotekelezeka pia ni matusi kwa wananchi walokupa ofisi
umezungumza mambo ma4 tofauti na kujaribu kwa mtazamo wako, kuyafanya yawe na maana moja. Na hilo ni kosa kubwa sana la kiumajumui..

1.Umezungumzia Rushwa
2. Umezungumia kupindisha katiba
3.Umezungumzia Matusi, na huenda umenitukana kimoyomoyo hapo uliopo..
4.Umezungumzia uongo.

Gentleman,
kwa mujibu wa Sheria na katiba ya nchi haya mambo manne ni tofauti na hayawezi kua ni jambo moja 🐒
 
Kama wanavyobwelambwela unaojifunza sii hasaa kutoka kwao?
Gentleman,
binafsi kama mwanasiasa mzoefu na mbobevu katika utawala na dipolomasia nafaidika mno na hoja, mada na mawaidha ya wadau wastaarabu humu JF, na hapo ndipo napojifunza, naongeza uelewa na Ufahamu, lakini pia nachota uzoefu mwingi zaid, na kufanya baadhi ya kazi na majukumu yangu katika kuwatumikia wananchi na umma wa waTanzania kua rahisi na wenye ufanisi wa kiwango cha juu sana 🐒
 
Sawa tuila usituone mabwege ujue?
 
Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo labda ni dhaifu na yasiyo na mashiko kwa wakati huo.

Ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala, huna sababu hata moja kulazimisha hoja au kuhitimisha maoni yako dhidi ya mjadala mahususi jukwaani kwa kuporomosha dhihaka, kejeli na pengine matusi ya nguoni kwa mtoa hoja au wadau na wachangiaji wengine.

Tumia haki na uhuru wako wa kujieleza kwa staha na kuchochea uhai na afya ya mijadala ya kistaarabu ili hatimae kwa pamoja tujenge Taifa au jamii iliyostaarabika na yenye kuheshimiana.

Hekima ikuelekeze kukaa kimya, ama kuperuzi mada nyingine kwenye majukwaa mengine kujiliwza kidogo au kuchukua nafasi ya kupumzika kidogo ikiwa utakua umejiskia kuchoka kulingana na uwajibikaji wa majukumu mbalimbali ya kila siku.

Kua mstaarabu mwenye weledi na bora zaidi kadiri siku zinavyokwenda.

Aidha nawatakia wadau wote wa JF utulivu na maandalizi mema katika mapumziko ya sherehe za Christmass na mwaka mpya 2025.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
RAIA FEKI ZINDUKA UKIMBIE NCHI ...TAYARI WANANCHI WAMESHA JUA KUWA CCM NI MA💩 YA RAIA FEKI WENZIO ...MWENZAKO ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE TAYARI YUPO MGUU MMOJA NDANI MWINGINE NJE
 
Unamwambia mwananchi TRA imekusanya tsh bilion250 ndan ya nusu mwaka afu kesho tunaona kiongozi wa nchi anaenda kukopa tsh bilioni 3 kwa ajiri ya uboreshaji wa bandari ya mtwara.
Huoni km huo ni mzaha ni zarau ni matusi kwa wananchi

Matusi yako ya aina nyingi atakudanganya wananchi tena wenye akili timamu ni matusi sa sjui tunakataa matusi ya aina gan
 
Sawa tuila usituone mabwege ujue?
unaweza kujiona bwege tu gentleman kwani ni uhuru na haki yako kufanya upendavyo 🐒
RAIA FEKI ZINDUKA UKIMBIE NCHI ...TSYARI WANANCHI WAMESHA JUA KUWA CCM NI MA💩 YA RAIA FEKI WENZIO ...MWENZAKO ROSTAM AZIZI NA WAHUNI WENZIE TAYARI YUPO MGUU MMOJA NDANI MWINGINE NJE
kwamba nikukimbie wew gentleman? dah 🤣
 
Unamwambia mwananchi TRA imekusanya tsh bilion250 ndan ya nusu mwaka afu kesho tunaona kiongozi wa nchi anaenda kukopa tsh bilioni 3 kwa ajiri ya uboreshaji wa bandari ya mtwara.
Huoni km huo ni mzaha ni zarau ni matusi kwa wananchi

Matusi yako ya aina nyingi atakudanganya wananchi tena wenye akili timamu ni matusi sa sjui tunakataa matusi ya aina gan
Yes,
kwani kuna ubaya gani ukatumia fedha yako ulonayo kuwekeza kwenye miundombinu ya afya za wananchi,

na ukakopa kwajili yakutanua na kuboresha miundombinu ya maji, elimu, bandari,reli au uvuvi?

kupanga ni kuchagua my friend 🐒
 
unaweza kujiona bwege tu gentleman kwani ni uhuru na haki yako kufanya upendavyo 🐒

kwamba nikukimbie wew gentleman? dah 🤣
KIMBIA WEEE SIBORA INGEKUWA KUNIKIMBIA MIMI ...KITAKACHO KUKIMBIZA NI WAZALENDO
 
KIMBIA WEEE SIBORA INGEKUWA KUNIKIMBIA MIMI ...KITAKACHO KUKIMBIZA NI WAZALENDO
mkimbizane huko kwenye chama chenu kalikogawanyika na mambo yenu ya upuppet na unpatriotic kwenye kachama kenu kasiasa , nje ya hapo ni nonsense gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom