Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la kuja-kuwapeleka MARS naamini ni moja ya jambo la kijinga sana na kutaka kutumia shortcut kwenye mambo ambayo yanahitaji suluhisho la kitaalamu na yanamalengo yafuatayo
  1. Kutafuta umaarufu wa kijinga kwamba sisi tumekuwa wa kwanza kupeleka mtu Mars kama ilivyokuwa mwaka 1968, 1970 na 1972
  2. Haina lengo la kuisaidia humanoid project

kwanza unatakiwa ufahamu kwamba kabla ya kufikiri kupeleka watu Mars inabidi maswali/challenge zifuatazo ziwezw kujibiwa
  • Ozone layer Mars hakuna ozone layer ilikuwepo ila iliharibika tunafahamu ozone layer incontrol gravitational force, kuzuia solar radiation na kuzalisha oxygen safari ya Mars haiwezi kuwa na tija kwa sababu hata wakifika hakuna namna watakaa mda mrefu bali watakaa mda mfupi sana
  • Technology ya usafiri wa rocket iko chini sana sana- ukiangalia jitihada zinazofanywa na NASA, SPACE X juu ya kutengeneza rockets ni nzuri ila ukweli ni kwamba technologia ya rocket imekua sana bali ni ukweli kwamba iko chini sana kikawaida mtu/watu wanatakiwa kutumia masaa chini ya 24 kufika Mars kitendo çha kutumia miezi tisa au nane sio afya kwa wasafiri
  • Mawasiliano nikimaanisha inter planet communications bado ipo chini sana sio sawa hata kidogo kupeleka watu Mars ilihali hakuna Mawasiliano ambayo ni reliable

NINI KIFANYIKE KUTENGENEZWE MAZINGIRA YA DUNIANI MARS
  1. kutengeneza Artificial ozone layer bila ozone layer kukaa Mars kutakuwa ni very expensive na kusikokuwa na tija na kutengeneza Artificial ozone layer inawezekana vizuri tu nimeelezea kwa ufupi kwenye huu uzi Materials zinazotumika kutengeneza ozone layer ni zipi hizo???
  2. Kuvuna wave za natural satellite na kuzitumia kwenye mawasiliano kupitia Bluetooth inawezekana Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote
  3. Kutengeneza ŕockets itakayotumia masaa chini 24 kufika Pluto hii inawezekana vizuri tu Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

Mh rais mtarajiwa kwenye hili nakuona unaelekea kuchanganyikiwa. Kaa karibu na wataalamu wako kabla hujaamua kuzungumza na umma wa wapiga kura wako.
Tatizo lako mnawaona NASA KAMA MIUNGU WATU HII DUNIA NI YETU SOTE HAKUNA MWENYE HATIMILIKI NAYO HATA SAYARI HAKUNA MWENYE HATI-MILIKI NAZO NI ZETU SOTE BILA KUJALI NI MZUNGU, MWAFRIKA, MCHINA AU MWARABU
 
Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la kuja-kuwapeleka MARS naamini ni moja ya jambo la kijinga sana na kutaka kutumia shortcut kwenye mambo ambayo yanahitaji suluhisho la kitaalamu na yanamalengo yafuatayo
  1. Kutafuta umaarufu wa kijinga kwamba sisi tumekuwa wa kwanza kupeleka mtu Mars kama ilivyokuwa mwaka 1968, 1970 na 1972
  2. Haina lengo la kuisaidia humanoid project

kwanza unatakiwa ufahamu kwamba kabla ya kufikiri kupeleka watu Mars inabidi maswali/challenge zifuatazo ziwezw kujibiwa
  • Ozone layer Mars hakuna ozone layer ilikuwepo ila iliharibika tunafahamu ozone layer incontrol gravitational force, kuzuia solar radiation na kuzalisha oxygen safari ya Mars haiwezi kuwa na tija kwa sababu hata wakifika hakuna namna watakaa mda mrefu bali watakaa mda mfupi sana
  • Technology ya usafiri wa rocket iko chini sana sana- ukiangalia jitihada zinazofanywa na NASA, SPACE X juu ya kutengeneza rockets ni nzuri ila ukweli ni kwamba technologia ya rocket imekua sana bali ni ukweli kwamba iko chini sana kikawaida mtu/watu wanatakiwa kutumia masaa chini ya 24 kufika Mars kitendo çha kutumia miezi tisa au nane sio afya kwa wasafiri
  • Mawasiliano nikimaanisha inter planet communications bado ipo chini sana sio sawa hata kidogo kupeleka watu Mars ilihali hakuna Mawasiliano ambayo ni reliable

NINI KIFANYIKE
  1. kutengeneza Artificial ozone layer inawezekana vizuri tu nimeelezea kwa ufupi kwenye huu uzi Materials zinazotumika kutengeneza ozone layer ni zipi hizo???
  2. Kuvuna wave za natural satellite na kuzitumia kwenye mawasiliano kupitia Bluetooth inawezekana Miaka ijayo Bluetooth itareplace matumizi ya Internet na network kwenye mawasiliano kwenye nyanja zote
  3. Kutengeneza ŕockets itakayotumia masaa chini 24 kufika Pluto hii inawezekana vizuri tu Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

Huyu dishi limeyumba kama la doctor shika afu anajikuta anajua vitu kumbe hakuna kitu ...channel zake kichwani zinachenga
 
Back
Top Bottom