Wanachokidharau we fanya. Kuna hawa bata maji aisee ni hatariii sana

Wanachokidharau we fanya. Kuna hawa bata maji aisee ni hatariii sana

Nimeamua nifuge bata maji tu, ni rahisi na wanazaliana kwa haraka sana.

IMG_6098.jpg

IMG_6099.jpg

Baadhii tu ya bata maji ninaowafuga
 
Elezea vifaranga unapata wapi? Bei sokoni ya hao bata ikoje na soko liko wapi, changamoto kwenye huo ufugaji ni zipi
 
Elezea vifaranga unapata wapi? Bei sokoni ya hao bata ikoje na soko liko wapi, changamoto kwenye huo ufugaji ni zipi

Kupata vifaranga unanunua bata wakubwa gegedu wawili jike wanne au sita kuanzia japo unaweza anza hata na wawili jike , bei kwa anayekaribia kutaga 20,000 gegedu kwaajili ya mbege kupandishia 25000 mpaka 35000 inategemea wapi unanunua
 
Elezea vifaranga unapata wapi? Bei sokoni ya hao bata ikoje na soko liko wapi, changamoto kwenye huo ufugaji ni zipi

By the way wengi wameelezea humu vizuri sana labda jipya ni kuvitenga vifaranga mara tu baada ya kutotolewa na kuwahifadhi sehemu yenye joto kwenye boksi au chumba maalumu
 
Back
Top Bottom