Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oo sawa mkuuOkay sasa hao tunaofuga majumbani ndio bata
Maji na kosa kubwa tunalofanya ni kutowajengea sehemu za kuogelea hao wanapenda maji sana mda wote wanashinda kunywa na kuogelea
Tuishi kwa upendo na kuvumiliana Madame...😊Nimecheka kweli alivyokureply😬
Basi sawa bwana mkubwa..[emoji120]
AminaTuishi kwa upendo na kuvumiliana Madame...😊
Amina
VingungutSoko kubwa la bata liko wapi?
Niite Dada,maana kwa mwandiko wako tu waonekana ni mdogo wangu Mwenye akili🙌Usiogope nakufunza tu bwana mdogo unajua kupitia statement ya mtu unaweza jikuta unajicheka badala ya kukicheka ulichokiona au kusikia !!
[emoji23][emoji23][emoji23]ila we jamaa [emoji119]
Huyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.Ushimen yamenigeuka😎
SawaJaribu kufuga chochote mradi kiwe chako kuna raha kubwa sana kwenye ufugaji
Niite Dada,maana kwa mwandiko wako tu waonekana ni mdogo wangu Mwenye akili[emoji119]
😂😂😂😂 mie namtazama tu na replies zakeHuyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.
Lakini bahati mbaya anamtazamo wake flani ambao tayari upo ndani yake yeye na pengine anaamini kile anacho kifikiria yeye na wengine wanaweza akafikiri kwa kufanana.
Wewe kucheka haimaanishi kwamba hauna akili, lakini minaona mleta mada anatoa majibu mengine yakuchekesha...🤣
Nafuga Rasi mkuuOkay nisamehe tu kwa kukuita ivo tuheshiane kwa jinsi zetu sawa dada angu nambie unafuga nini wewe nijifunze kitu
Huyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.
Lakini bahati mbaya anamtazamo wake flani ambao tayari upo ndani yake yeye na pengine anaamini kile anacho kifikiria yeye na wengine wanaweza akafikiri kwa kufanana.
Wewe kucheka haimaanishi kwamba hauna akili, lakini minaona mleta mada anatoa majibu mengine yakuchekesha...[emoji1787]
Nafuga Rasi mkuu
Good, kama ndipo umeanza kuwafuga na unatembea na maono yako, then naomba nikupongeze sana mkuu.Ila kwa mimi hii kitu inafaida kubwa sijaanza kuwatoa lakini wahitaji ni wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie namtazama tu na replies zake
Asante mkuu, afadhali nimepata pakuanzia maana nina jambo langu kuhusu huu mfugo bata.Vingungut