- Thread starter
- #61
Good, kama ndipo umeanza kuwafuga na unatembea na maono yako, then naomba nikupongeze sana mkuu.
Lakini bado tena unanirudisha nyuma kidogo unaposema "wahitaji" ni wengi.... wapo wapi hao wahitaji, yaani wewe unawaona wapi??
Bado naendelea kujifunza kutoka kwako mkuu
Okay ipo hivi ndugu ! Bata ni chakula , kingine ni kwamba watu wengi hawafugi bata hawa sio kwa sababu ya soko ila sababu hawajazoeleka lakini hawa bata wanauzika sana na ni bei ! Juzi tu nilipakia status za videos nikiwa kwenye mabanda yangu watu wengi sana walihitaji niwauzie waanze kufuga , lakini wanaonizunguka wengi sana wanatamani ni wauzie waanze kufuga , kuna jamaa somewhere huku kwetu ana bata zaidi ya 1000 kuna watu wanafika pale kutaka kununua mpaka bata wote anaishia kuwauzia kadhaa tu sababu anahesabu ambayo anataka kufikisha ! Issue ni hawajazoeleka ila watu wanakula sana na wenye hela mkuu