Wanachokidharau we fanya. Kuna hawa bata maji aisee ni hatariii sana

Wanachokidharau we fanya. Kuna hawa bata maji aisee ni hatariii sana

Mimi nadhani soko unatengeneza tu mbona mimi nilinunua kwa mfugaji nikaanza kufuga
Nazungumzia sehemu kama mabanda ya chipsi, hoteli, soko la mayai yake. Utaishia kuuzia mtu mmoja mmoja, Japo hawana changamoto yoyote upande wa magonja
 
Nazungumzia sehemu kama mabanda ya chipsi, hoteli, soko la mayai yake. Utaishia kuuzia mtu mmoja mmoja, Japo hawana changamoto yoyote upande wa magonja

Umesahahu kitu kimoja tu akili
 
Na kwaambae hana akili kama mimi unamshauri nini ili apate kujua soko kuu la bata?

Cha kwanza kila unachofanya lazima uwe na maono nacho hutaona unayoyaona wala kuyasikia and usifuge tu sababu watu wanafuga hapo ndipo tunakosea ,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...we sema kweli[emoji205]

Nisaidie wanaitwaje kwa kiswahili hawa bata wa kienyeji achana na lugha za watu wengine
 
Nisaidie wanaitwaje kwa kiswahili hawa bata wa kienyeji achana na lugha za watu wengine
Mi najua bata maji wapatikana sehemu zenye maji huko always wanapenda kuogelea au muda mwingi hutumia kuwa kwa maji....ila hawa wa kufungwa skani nachojua hao ni bata tu
 
Mi najua bata maji wapatikana sehemu zenye maji huko always wanapenda kuogelea au muda mwingi hutumia kuwa kwa maji....ila hawa wa kufungwa skani nachojua hao ni bata tu

Okay sasa hao tunaofuga majumbani ndio bata
Maji na kosa kubwa tunalofanya ni kutowajengea sehemu za kuogelea hao wanapenda maji sana mda wote wanashinda kunywa na kuogelea
 
Back
Top Bottom