Oo sawa mkuuOkay sasa hao tunaofuga majumbani ndio bata
Maji na kosa kubwa tunalofanya ni kutowajengea sehemu za kuogelea hao wanapenda maji sana mda wote wanashinda kunywa na kuogelea
Tuishi kwa upendo na kuvumiliana Madame...πNimecheka kweli alivyokureplyπ¬
Basi sawa bwana mkubwa..[emoji120]
AminaTuishi kwa upendo na kuvumiliana Madame...π
Amina
VingungutSoko kubwa la bata liko wapi?
Niite Dada,maana kwa mwandiko wako tu waonekana ni mdogo wangu Mwenye akiliπUsiogope nakufunza tu bwana mdogo unajua kupitia statement ya mtu unaweza jikuta unajicheka badala ya kukicheka ulichokiona au kusikia !!
[emoji23][emoji23][emoji23]ila we jamaa [emoji119]
Huyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.Ushimen yamenigeukaπ
SawaJaribu kufuga chochote mradi kiwe chako kuna raha kubwa sana kwenye ufugaji
Niite Dada,maana kwa mwandiko wako tu waonekana ni mdogo wangu Mwenye akili[emoji119]
ππππ mie namtazama tu na replies zakeHuyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.
Lakini bahati mbaya anamtazamo wake flani ambao tayari upo ndani yake yeye na pengine anaamini kile anacho kifikiria yeye na wengine wanaweza akafikiri kwa kufanana.
Wewe kucheka haimaanishi kwamba hauna akili, lakini minaona mleta mada anatoa majibu mengine yakuchekesha...π€£
Nafuga Rasi mkuuOkay nisamehe tu kwa kukuita ivo tuheshiane kwa jinsi zetu sawa dada angu nambie unafuga nini wewe nijifunze kitu
Huyu jamaa kaja na wazo zuri sana, binafsi nimejikuta natamani kujifunza kitu kutoka kwake.
Lakini bahati mbaya anamtazamo wake flani ambao tayari upo ndani yake yeye na pengine anaamini kile anacho kifikiria yeye na wengine wanaweza akafikiri kwa kufanana.
Wewe kucheka haimaanishi kwamba hauna akili, lakini minaona mleta mada anatoa majibu mengine yakuchekesha...[emoji1787]
Nafuga Rasi mkuu
Good, kama ndipo umeanza kuwafuga na unatembea na maono yako, then naomba nikupongeze sana mkuu.Ila kwa mimi hii kitu inafaida kubwa sijaanza kuwatoa lakini wahitaji ni wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie namtazama tu na replies zake
Asante mkuu, afadhali nimepata pakuanzia maana nina jambo langu kuhusu huu mfugo bata.Vingungut