Wanachokidharau we fanya. Kuna hawa bata maji aisee ni hatariii sana


Okay ipo hivi ndugu ! Bata ni chakula , kingine ni kwamba watu wengi hawafugi bata hawa sio kwa sababu ya soko ila sababu hawajazoeleka lakini hawa bata wanauzika sana na ni bei ! Juzi tu nilipakia status za videos nikiwa kwenye mabanda yangu watu wengi sana walihitaji niwauzie waanze kufuga , lakini wanaonizunguka wengi sana wanatamani ni wauzie waanze kufuga , kuna jamaa somewhere huku kwetu ana bata zaidi ya 1000 kuna watu wanafika pale kutaka kununua mpaka bata wote anaishia kuwauzia kadhaa tu sababu anahesabu ambayo anataka kufikisha ! Issue ni hawajazoeleka ila watu wanakula sana na wenye hela mkuu
 
Sasa nimekuelewa vizuri sana mkuu
 
Nimeamua nifuge bata maji tu, ni rahisi na wanazaliana kwa haraka sana.

Mimi hata kumla huyo mdudu siwezi, mahali pekee nimempenda bata ni Singapore, kwa viuonge vile huwezi jua hata ni bata
 
Mimi hata kumla huyo mdudu siwezi, mahali pekee nimempenda bata ni Singapore, kwa viuonge vile huwezi jua hata ni bata

Okay kwa sasa unaishi wapi ndugu . Sisi hapa ni Tanzania tunakula hii kitu
 
Okay kwa sasa unaishi wapi ndugu . Sisi hapa ni Tanzania tunakula hii kitu

Mi Mtanzania, ila harufu ya Bata imenishinda, labda awekewe viungo sana, ila Singapore kwa street food bata huwezi amini ni bata, bana arufu
 
Hata nyama ya ng’ombe usipo iandaa vizuri inanuka huwezi fananisha mapishi ya bara na pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…