Wanadamu ni kitu gani mtafanyiwa muamini mafanikio ya wanadamu wengine?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Aise, nimekuwa nikiandika nyuzi mbalimbali humu, nilizo shuhudia kutokana na mahali nilipoishi. Currently, I'm an online man, nimepitia maisha mbalimbali kuanzia 2011 hadi sasa. Ila kila ninapoandika Uzi, kuna watu nawaita people with low IQ. Mara nyingi nasema, if you don’t have facts logically, don’t judge a statement because you are not sure of what you’re talking about.

Nimeona niliseme hili kutokana na wadau kutoa maneno ya hovyo humu. Sometimes, we need to share some stories and knowledge as great thinkers here on JF. Lakini kuna wadau kweli, logically, naweza kusema wana lowest IQ. Watu wenye IQ ya juu kamwe hawafanyi hivi.

"Katika dunia ya leo, hekima inahitajika zaidi kuliko ujuaji wa maneno yasiyo na maana. Tunahitaji kushirikishana maarifa, sio kuhukumu."
 
Manfried na kutag hapa bila aibu acha hiyo tabia more than three times unakosoa vibaya waandishi wa humu JF what do you want them to share?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…