Wanadamu tunaishi, tunapenda, tunakufa

Wanadamu tunaishi, tunapenda, tunakufa

Lenin23

Senior Member
Joined
Feb 9, 2022
Posts
186
Reaction score
301
Katk maisha sometimes life become so mesmerizing the first time we fall in love,,ni kipind ambacho ata rafk waweza muona adui akijaribu kukushauri kuhusu penzi jipya . When iam older enough I'll always remember that day of my life ,,the day that changed my life and everything.

Ilikuaje

Ilikua iv ,,n mchana wa mwaka 2k18 nkiwa chuo x mjni Tanganyika first yr nkwa napata wali dagaa kwasababu ya khal yangu ya kiuchumi iliyokua mbaya kiasi Cha kuogopa kuchangamana na watt wa kishua,,, ktk table nlokua napata ubwabwa wangu safi mbele ya macho yangu anatokea binti mrembo sana ,mweupe kiasi ,mrefu na mwenye umbo la wastani kichwani akiwa amezifunga nywele zake za shombex2 ktk mafungu mawili ,,hapa bongo maarufu kama mabutu,,,nkiwa naendelea kutahamaki uzuri wake ulionifanya nizame katika dimwi zito la majadiliano makali ya kimikakati moyoni na kichwani kwangu.

Inasikika saut " mambo" nkiwa nainua shingo yangu tartibu oh jeez I couldn't believe kile kitu nlkiona ktk macho yake she had growing eyes with a beauty I have never seen before,,she was my ideal gal ,,the gal of my dreams it was love at first for sure,, niliitika Kwa uchangamfu wa hari ya juu "poa" nkwa n kama mtu niliepatwa na electric shock nkwa na aibu kua atanionaje kidume napg wali dagaa na yy n mtu ya VIP (don't get me wrong it wasn't my life style,,,nlikua ovyo Kwa mfuko)
,,basi nkamkalibisha lunch yangu ya magumashi ambayo nkiimaliza naenda kushushia na downloaded water.

Aliitika kiutani kua ntakuja nkule iyo chakula Yako mpk iishe sote sura zetu zkajawa na tabasamu,
nilifurahi sana kukutana na binti kama yule of coz sababu mm nlikua n mtu niliesoma sana shule za boys na nilikua real introvent 98%. Kutokana na muonekano wangu na sura ya bimkunwa wangu with my innocent eyes aliweza piga story mbili tatu regardless of the meal I was eating of coz meal Ile ilikua inachukuliwa ya people with low standard Un life nazani mnaelewa,,
Baada ya story mbili tatu aliinuka na kuondoka kufata kinywaji ktk kaunta iliyopo ktk eneo Hilo nakurud VIP (Shortly alinifata yy Kwa table and she was waiting for someone else),,,

Young me nilishindwa kuomba ata namba ya cm coz of innocent soul I used to be,,, Moyo wangu ulitokea kumpenda sana mabutu wangu ( my friend named her that) because it was a hair style aliyokua anaipenda akwa first yr if you have been in love before, iam sure we are speaking the same toungue( tunaelewana)

Pia mm so mwandshi mzuri ila tutafikia tamati.

NILIFELI WAPI😬😬😬
Itaendelea..................
 
Inaendelea!!!

Baada ya siku kazaa nilipata bahat ya kumuona rafk yangu akwa na huyo bint nkamdodosa na kupata contact zake sababu walikua class Moja! Ktk course flan!!
Young folk nkajitutumua na kuvaa ujasiri wa kumtext😬 guess what she didn't forget me ☺️,ikawa rahs kutoulizwa maswali mengi😅😅 Big boys knows it,,,

Skuchukua muda nkamfungikia na kueleza yaliyopo moyoni ,,,,it was too late😔😔 she had someone else but because of my personality she didn't want to let go of me either,,,,

Hapa ndipo ligi ilipoanza ,,,nilipgwa benchi nkawa nasubiri jamaa aachie Jimbo ,,nilisubr nkwa naendelea kufanya impression mbali mbali kama kumchora ( very talented ktk hyo sekta),,sadaka ndogo ndogo kama chocolate zlhuska😅 ,,msisahau I was only 21+ I didn't know much how to love 🤒,,didn't have much money (still broke by the way) zaid ya vznga maskani ,,,,sekta ambayo skuweza kufua dafu Kwa mshkaji anaempeleka bibie kula nyama choma dinner 😂 uku akiendelea kuwa bingwa wa ligi na goal score za kutosha bila shaka ( Mpira bila magori sio mechi😉)

Finally waliiachana ,,,but this time around I was completely different person,,nko mwaka mwngne Un ,life limeniendea Ovyo , grades zangu zkwa ovyo ,,carry 1 na sap 2 zkiwa zmekiandana kichwa ambacho bmkubwa wangu anajionea fahari🙃🙃🙃.

Bad enough I ventured in virtue currencies 🤒 zlzonipa heavy losses na kufanya everything to fall apart in my life🤕🤕 though niliendelea kuwa focused,,

This girl of my dream Juliet( virtue name) alikuja at the most worst time of my life ,,alikua ni gal anaedress vzur out za apa na pale (Xmas, Easter) na znngnezo ,,,,,this time around alikua ameelewa n kias gan namkubali na kukaa bench mpk semester yangu 6 pale Un,,, lkn mm nilimuogopa this time around Mfuko ulikua tatzo🤕🤒 nilimpotezea bila kupenda nkwa najiuliza nngewezaje kua na bint kama yule mrembo wakt sna ktu Kwa mfuko na hata kama muonekano wangu ungenibeba still I wasn't so much courageous lkn deep down my soul Bado nampenda ata baada ya kumaliza chuo ,,,napata tu habar Kwa wadau she is enjoying her life uko Kwa status wth her new Bf,,, ( naumia na sijui la kufanya nlimkaushia mwenyewe)
That's how I loved someone,,,(mengine Siri ya Kambi)

Comment kama (Tafuta pesa ) plz iam Bitcoin boy aka virtue currencies expert Kwa Sasa kdgo nachokipata kinaridhisha buh knachonisumbua je nmtafute au lah!! Na nkmtafuta atanipenda au ataniona mzinguaji😬😬😬( people changes)

That how I lived & loved
true lovers mnakaribishwa kutuambia how you truly loved someone back these days🥂🍾
 
Katk maisha sometimes life become so mesmerizing the first time we fall in love 🥰🥰,,,ni kipind ambacho ata rafk waweza muona adui akijaribu kukushauri kuhusu penzi jipya 😅😅😅
When iam older enough I'll always remember that day of my life ,,the day that changed my life and everything 😔😔
We Live.. We Hustle.. We Enjoy Life.. We Die. Mambo ya Love.. kudanganyana tu..
 
Katk maisha sometimes life become so mesmerizing the first time we fall in love 🥰🥰,,,ni kipind ambacho ata rafk waweza muona adui akijaribu 🤗

NILIFELI WAPI😬😬😬
Itaendelea..................
Haukufeli sehemu.. uko sawa tu. Macho hayana pazia. Ni sawa kuona demu mzuri na ku-appreciate. Kuna watu hawapitwagi na sketi.. maisha yake yote ni kukimbiza sketi tu.. hilo ndio tatizo. Anakuwa addicted kabisa.. wazuri wapo kibao. Unamuona mzuri sana.. baadae unaona mzuri zaidi.. na zaidi.. sasa utakimbiza wangapi? Pambana ushike $$ ya kutosha.. mie sina muda wa love.. nikihitaji mrembo wa kunipa good time.. numbers za simu zipo. Nikiwa busy na kazi zangu.. naachana nao kabisa..
 
Haukufeli sehemu.. uko sawa tu. Macho hayana pazia. Ni sawa kuona demu mzuri na ku-appreciate. Kuna watu hawapitwagi na sketi.. maisha yake yote ni kukimbiza sketi tu.. hilo ndio tatizo. Anakuwa addicted kabisa.. wazuri wapo kibao. Unamuona mzuri sana.. baadae unaona mzuri zaidi.. na zaidi.. sasa utakimbiza wangapi? Pambana ushike $$ ya kutosha.. mie sina muda wa love.. nikihitaji mrembo wa kunipa good time.. numbers za simu zipo. Nikiwa busy na kazi zangu.. naachana nao kabisa..
Noted!
 
Haukufeli sehemu.. uko sawa tu. Macho hayana pazia. Ni sawa kuona demu mzuri na ku-appreciate. Kuna watu hawapitwagi na sketi.. maisha yake yote ni kukimbiza sketi tu.. hilo ndio tatizo. Anakuwa addicted kabisa.. wazuri wapo kibao. Unamuona mzuri sana.. baadae unaona mzuri zaidi.. na zaidi.. sasa utakimbiza wangapi? Pambana ushike $$ ya kutosha.. mie sina muda wa love.. nikihitaji mrembo wa kunipa good time.. numbers za simu zipo. Nikiwa busy na kazi zangu.. naachana nao kabisa..
Noted!
 
Back
Top Bottom