Lenin23
Senior Member
- Feb 9, 2022
- 186
- 301
Katk maisha sometimes life become so mesmerizing the first time we fall in love,,ni kipind ambacho ata rafk waweza muona adui akijaribu kukushauri kuhusu penzi jipya . When iam older enough I'll always remember that day of my life ,,the day that changed my life and everything.
Ilikuaje
Ilikua iv ,,n mchana wa mwaka 2k18 nkiwa chuo x mjni Tanganyika first yr nkwa napata wali dagaa kwasababu ya khal yangu ya kiuchumi iliyokua mbaya kiasi Cha kuogopa kuchangamana na watt wa kishua,,, ktk table nlokua napata ubwabwa wangu safi mbele ya macho yangu anatokea binti mrembo sana ,mweupe kiasi ,mrefu na mwenye umbo la wastani kichwani akiwa amezifunga nywele zake za shombex2 ktk mafungu mawili ,,hapa bongo maarufu kama mabutu,,,nkiwa naendelea kutahamaki uzuri wake ulionifanya nizame katika dimwi zito la majadiliano makali ya kimikakati moyoni na kichwani kwangu.
Inasikika saut " mambo" nkiwa nainua shingo yangu tartibu oh jeez I couldn't believe kile kitu nlkiona ktk macho yake she had growing eyes with a beauty I have never seen before,,she was my ideal gal ,,the gal of my dreams it was love at first for sure,, niliitika Kwa uchangamfu wa hari ya juu "poa" nkwa n kama mtu niliepatwa na electric shock nkwa na aibu kua atanionaje kidume napg wali dagaa na yy n mtu ya VIP (don't get me wrong it wasn't my life style,,,nlikua ovyo Kwa mfuko)
,,basi nkamkalibisha lunch yangu ya magumashi ambayo nkiimaliza naenda kushushia na downloaded water.
Aliitika kiutani kua ntakuja nkule iyo chakula Yako mpk iishe sote sura zetu zkajawa na tabasamu,
nilifurahi sana kukutana na binti kama yule of coz sababu mm nlikua n mtu niliesoma sana shule za boys na nilikua real introvent 98%. Kutokana na muonekano wangu na sura ya bimkunwa wangu with my innocent eyes aliweza piga story mbili tatu regardless of the meal I was eating of coz meal Ile ilikua inachukuliwa ya people with low standard Un life nazani mnaelewa,,
Baada ya story mbili tatu aliinuka na kuondoka kufata kinywaji ktk kaunta iliyopo ktk eneo Hilo nakurud VIP (Shortly alinifata yy Kwa table and she was waiting for someone else),,,
Young me nilishindwa kuomba ata namba ya cm coz of innocent soul I used to be,,, Moyo wangu ulitokea kumpenda sana mabutu wangu ( my friend named her that) because it was a hair style aliyokua anaipenda akwa first yr if you have been in love before, iam sure we are speaking the same toungue( tunaelewana)
Pia mm so mwandshi mzuri ila tutafikia tamati.
NILIFELI WAPI😬😬😬
Itaendelea..................