Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

Yaani mpaka mifupa, alikaa muda gani baada ya kifo

Anyways, naikumbuka hii movie.
 
Kwahiyo TV iliwaka mwaka mzima mkuu ?

Nenda tena darasani ili ufahamu umeme ni nini ?

Nonsense
 
Kama umeelewa hvyo alafu ukatengeneza hitimisho basi wewe ni moja ya vilaza wanaosumbua hili taifa
Daaah haya maisha haya bhana , poleni sana , Maisha ya Ulaya chenga sana , kuna dada mwingine alikutwa amekufa hvyo hvyo na ilichukua mwaka mzima kutambua amekufa , alifia kwenye sofa walikuta mifupa tuu , na mda huo Tv ilikuwa inaendelea kuwaka channel aliyokuwa ametune kabla ya kifo
 
Oo Lord

You the only who know our last day of our destine in this world.
Rest in Piece and Poleni sote kwa msiba
Basi tujaribu kuacha footprints kila tunapokuwapo ili umauti.ukitukuta angalao tupate kujulikana .
Dada kahama Spain hadi denmark , bila kutoa taarifa hata kwa ndugu wa karibu.
 
 
Mtu Alie zoea maisha uswailini kuombana chumvi, umbea umbea mpk aweze ku adapt lifestyle itamchukua muda...

All in all we live once,we die once....R.I.P
 
Aisee!
 

Sio issue ya upweke, ni issue ya life style, kwa kifupi marehemu alikuwa anaisha maisha ya hovyo na labda alikuwa hataki mawasiliano na ndugu zake.
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…