Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

Daaah haya maisha haya bhana , poleni sana , Maisha ya Ulaya chenga sana , kuna dada mwingine alikutwa amekufa hvyo hvyo na ilichukua mwaka mzima kutambua amekufa , alifia kwenye sofa walikuta mifupa tuu , na mda huo Tv ilikuwa inaendelea kuwaka channel aliyokuwa ametune kabla ya kifo
Yaani mpaka mifupa, alikaa muda gani baada ya kifo

Anyways, naikumbuka hii movie.
 
Kwahiyo TV iliwaka mwaka mzima mkuu ?

Nenda tena darasani ili ufahamu umeme ni nini ?

Nonsense
 
Kama umeelewa hvyo alafu ukatengeneza hitimisho basi wewe ni moja ya vilaza wanaosumbua hili taifa
Daaah haya maisha haya bhana , poleni sana , Maisha ya Ulaya chenga sana , kuna dada mwingine alikutwa amekufa hvyo hvyo na ilichukua mwaka mzima kutambua amekufa , alifia kwenye sofa walikuta mifupa tuu , na mda huo Tv ilikuwa inaendelea kuwaka channel aliyokuwa ametune kabla ya kifo
 
Yaani mpaka mifupa, alikaa muda gani baada ya kifo

Anyways, naikumbuka hii movie.

IMG_20230322_084234.jpg

IMG_20230322_084409.jpg
 
Oo Lord

You the only who know our last day of our destine in this world.
Rest in Piece and Poleni sote kwa msiba
Basi tujaribu kuacha footprints kila tunapokuwapo ili umauti.ukitukuta angalao tupate kujulikana .
Dada kahama Spain hadi denmark , bila kutoa taarifa hata kwa ndugu wa karibu.
 
Daaah haya maisha haya bhana , poleni sana , Maisha ya Ulaya chenga sana , kuna dada mwingine alikutwa amekufa hvyo hvyo na ilichukua mwaka mzima kutambua amekufa , alifia kwenye sofa walikuta mifupa tuu , na mda huo Tv ilikuwa inaendelea kuwaka channel aliyokuwa ametune kabla ya kifo
 
R.I.P Vivian.
Ni kweli, nchi za ulaya haswa hizi za Scandinavian upweke ni tatizo kubwa sana.
Unakuta una jirani yako kwenye 'flat' moja (milango inatizamana) lakini kama mnapishana saa za kuingia na kutoka, huyo mnaweza kukaa mwaka au zaidi bila kuonana.
Hakuna mtu anayejali kuwepo au kutokwepo kwako...hatari sana
Mtu Alie zoea maisha uswailini kuombana chumvi, umbea umbea mpk aweze ku adapt lifestyle itamchukua muda...

All in all we live once,we die once....R.I.P
 
R.I.P Vivian.
Ni kweli, nchi za ulaya haswa hizi za Scandinavian upweke ni tatizo kubwa sana.
Unakuta una jirani yako kwenye 'flat' moja (milango inatizamana) lakini kama mnapishana saa za kuingia na kutoka, huyo mnaweza kukaa mwaka au zaidi bila kuonana.
Hakuna mtu anayejali kuwepo au kutokwepo kwako...hatari sana
Aisee!
 
Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi.

Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi zimekwama kwa kuwa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo cha kifo chake.

Inadaiwa marehemu alikuwa anaishi Nchini Uhispania kabla hajaolewa na mume wake Brian Larsen mnamo mwaka 2016. Marehemu ana ndugu ambaye ni pacha wake anayeitwa Viola ambaye anaishi Mikocheni Dar es Salaam Tanzania.

Kama kuna Mtanzania yeyote aliyekuwa karibu na marehemu au kufahamiana naye enzi za uhai wake anaombwa kutoa ushirikiano wake, na familia ingefarijika sana.

Marehemu ana mtu mmoja wa familia alieoana na binamu yake Vivian anayeishi Denmark lakini naye alikuwa hajui kama Vivian yuko Denmark-Copenhagen. Taarifa alizokuwa anajua ni kwamba Vivian alikuwa anaishi Uhispania kama Mwanamitindo kwahiyo na yeye yuko kwenye masikitiko na mshangao wa kifo chake.

Sio issue ya upweke, ni issue ya life style, kwa kifupi marehemu alikuwa anaisha maisha ya hovyo na labda alikuwa hataki mawasiliano na ndugu zake.
 
Rest In Peace,

That's life,hata Bongo aliyegongwa na mwendo kasi ilichukua muda kujua ndugu zake,tena yeye na clip zilisambaa kwenye social media,wahanga wengi tu wa ajali Bongo,huchukua muda kuwapata ndugu zake,

Naendelea kukomaa na box,ukifa umekufa,ujulikane au usijulikane ni same tu.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom